Canada yahalalisha BaNGI, madukani foleni ni balaa

Kwahiyo Hilo fact zako ulizifanyia research Netherlands tu na hazieffect other European countries kama Belgium,German au basi marekani....nmekaa uholanzi mwaka mmoja nlienda tembelea ..kikubwa nlichokiona niwatanzania tunaishi sana na emotions bila research......Matatizo mengine ni psychological mtu anahitaji tu ushauri Nasaha na kwakua tunaignore hii taaluma Africa obvious ndo maana kila watanzania 3 mmoja chizi...ila kikubwa cha kusingizia ni bange wakati vijana wanafanya abuse kuanzia pombe ,sigara na vilevi vyengine?..ps mi si mtumiaji wa bange ila sipendagi kua sheeply...kua kama kondoo mfuata upepo
 
Mkuu, hamna kitu kama hiki mbona mimi nikitumia kujiamini na umakini unakuwa mkubwa zaidi?! Nipo cool sina hulka ya ugomvi na najielewa. Na si mimi tu hata kampani yangu ipo poa tu. Tunajadiliana mambo vizuri tu. Na hatuna hulka ya mambo ya ajabu.

Kuinasibisha bhangi na mambo ya ajabu si sahihi. Mambo ya ajabu yanafanywa na kada ya watu mbalimbali katika jamii. Kwa hiyo, bhangi isitumike kama sababu kama mtu akiwa na mambo ya ajabu.
 

Kwa huu mwandiko utakua uko 'high'
 
Wanywa konyagi na beer huwa wana maamuzi murua sana au nimekosea kukuelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…