Canada yahalalisha BaNGI, madukani foleni ni balaa

Kwahiyo Hilo fact zako ulizifanyia research Netherlands tu na hazieffect other European countries kama Belgium,German au basi marekani....nmekaa uholanzi mwaka mmoja nlienda tembelea ..kikubwa nlichokiona niwatanzania tunaishi sana na emotions bila research......Matatizo mengine ni psychological mtu anahitaji tu ushauri Nasaha na kwakua tunaignore hii taaluma Africa obvious ndo maana kila watanzania 3 mmoja chizi...ila kikubwa cha kusingizia ni bange wakati vijana wanafanya abuse kuanzia pombe ,sigara na vilevi vyengine?..ps mi si mtumiaji wa bange ila sipendagi kua sheeply...kua kama kondoo mfuata upepo
Mkuu asante kwa comment.
Ila inabidi utafiti nini ilikuwa matokeo ya kuhalalisha utaliibangi holland.
Mfano mji wa maastritch uhalifu ulitiple. Kuna policy na sheria kali na kuna baadhi ya watu wa mataifa kadhaa walizuiwa kuuziwa bangi maana wanadata.
Ili ununue bangi inabidi uonyeshe kitambulisho.
Sio maneno yangu ni utafiti "weed team".

Sababu ya kufunga ma gereza ni nyingi sion kuruhusa bange na ukahaba.
-Vijana wengi ambao wanategemewa kufanya uhalifu mtaani miaka 12-18 wametekwa na mitandao, muda wao mwingi unatumika kwenye computer au simu badala ya kuzagaa mitaani.
Pia kuanzishwa kwa electric surveillance mfano electric tagging .

Pia wao walibadili mfumo maadili sio sababu ya mtu kuwekwa jela tofauti na kwingineko duniani.
Sio mimi ni kwa mujibu wa profesa wa criminology huko huko holland.

Hivyo sio suala la jumla jumla. Lazima ujipange ukiiga kila kitu huku unauwezo duni wa kudhibiti matokeo itakula kwako.
 
Hata historia ya madawa ya kulevya ni baada ya waamerica weusi kupoteza channel na kuanza kufanya mafujo.
Ila ushahidi wa kiuzoefu wavuta bangi wengi huwa hawaaminiki muda wowote wanaweza kufanya maamuzi fyongo na hatarishi.

Hata vikiwa halali bado ni hatarishi
Mkuu, hamna kitu kama hiki mbona mimi nikitumia kujiamini na umakini unakuwa mkubwa zaidi?! Nipo cool sina hulka ya ugomvi na najielewa. Na si mimi tu hata kampani yangu ipo poa tu. Tunajadiliana mambo vizuri tu. Na hatuna hulka ya mambo ya ajabu.

Kuinasibisha bhangi na mambo ya ajabu si sahihi. Mambo ya ajabu yanafanywa na kada ya watu mbalimbali katika jamii. Kwa hiyo, bhangi isitumike kama sababu kama mtu akiwa na mambo ya ajabu.
 
Kwahiyo Hilo fact zako ulizifanyia research Netherlands tu na hazieffect other EuropeAn countries kama Belgium,Grrman au basi marekani....nmekaa uholanzi masala Mona nlienda tembelea ..kikubwa nlichokiona niwatanzania tunaiahi sana na emotions bill research......Matatizo mengine no psychological mtu anahitaji tu ushauri Natasha na kwakua tunaignore hii taaluma Africa obvious ndo maana s ijui kila watanzania 3 m moja chupi...ila kikubwa cha kusingizia no ban he wakati vijana wanafanya ukaribu kuanzia pombe ,sigara na vilevi vyengine?..ps mi si mtumiaji wa banghe ila sipendagi kua shiply...kua kama kondoo mfuata upepo

Kwa huu mwandiko utakua uko 'high'
 
Hata historia ya madawa ya kulevya ni baada ya waamerica weusi kupoteza channel na kuanza kufanya mafujo.
Ila ushahidi wa kiuzoefu wavuta bangi wengi huwa hawaaminiki muda wowote wanaweza kufanya maamuzi fyongo na hatarishi.

Hata vikiwa halali bado ni hatarishi
Wanywa konyagi na beer huwa wana maamuzi murua sana au nimekosea kukuelewa!
 
1539938595356.png
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom