mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Kikosi cha viongozi kutoka mexico kinatarajiwa kutumwa canada kupata mafunzo ya jinsi ya kuhalalisha bangi aka msuba.
Ofisi ya rais itatuma watu saba kujadili mambo ya haki za binadamu pamoja na kuhalalisha bangi,
Hizi ni miongoni mwa mikakati za rais Lopez Obrador anayetarajiwa kuapishwa December 1. Na kiu yake ni kuona America Yote au umoja wa nchi za NAFTA zinahalalisha hii kitu.
Huko canada kwenyewe siku mbili baada ya bangi kuhalalishwa maduka yamekaukiwa bidhaa hiyo huku kukiwa na misururu ya watu
MY TAKE:
Tutake tusitake, tarajia mmomonyoko wa maadili wa kidunia. Siku US wakipitisha kama taifa basi ujue vibaraka wake wote na wanufaika wa kodi zao wote watafuatia kama suala la Ushoga na usagaji linavyoshika kasi kama moto msituni.
Source:
marijuanamoment.net
picha ya foleni za wavuta bangi mexico baada ya bidhaa hiyo kuisha ndani ya siku mbili