mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Canada inatarajia kuhalalisha matumizi ya bange kwa raia wenye umri zaidi ya miaka 18.
Polisi wametumia zaidi ya trillion 5 kupambana na uuzwaji haramu wa bangI bila mafanikio.
Sharia hii imelenga kuwalinda watoto dhidi ya bangi lkn wakati bangi ikawa haramu canada ndio nchi ya wazungu yenye watoto na vijana wengi walioathirika kwa uvutaji wa bangi.
Maoni
Tunakoelekea naiona bangi kuwa halali duniani. Vyombo vyetu vipambane kuziMa kbs mmea huu haramu ili wengine wakihalalisha sisi tukatae tukiwa na idadi ndogo ya wateja.
Pote duniani bado inakubalika kuwa bangi inamadhara kiakili ndio maana hata Canada wenyewe wanasema japo wanahalalisha lkn ukisababisha ajali kwa kuvuta bangi ni jela.
Source
The Canadian government just introduced legislation to legalize marijuana