Can you date a guy without asking him for Money?

Ila muda huo usiniambie habari za sex..
Nitakuambia hiyo hela unayotaka kunipa ikusanye ukapeleke mahari nyumbani uje kunichukua.
Siamini Kama wewe ni msichana/mwanamke. Nadhani ni "me" na lengo lako ni kufurahisha jukwaa tu! Mwanamke anayeweza kuzungumza unavyozungumza wewe hajazaliwa bado!!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom