Can you date a guy without asking him for Money?

Hapo juu si umetwambia unafanya kazi kimboka sijui ndio wapi, sasa hivi umebadili eneo la kzi
"Nimewaambia wewe na nani wengine ?"

Nahisi ukiwa shule kile kipengele cha ufahamu/comprehension kilikuwa kinakupeleka puta sana kama sentensi fupi fupi ninazoandika unashindwa kuzielewa.
 
Can you date a guy without asking him for money? Most girls will be laughing at this question,but am sure the guys would really want to know.

As long as I can remember and as many relationships I can remember, the ladies always ask for money.It might not be direct because ladies are smart.

They might not ask you directly but by the time you realize it, you have given them 100k.

I am not sure most ladies can do without asking their guys for money. It's in the blood, you are their helper the moment you ask them out. You just have to provide for anything they want because they are now your responsibility.

Have you been in a relationship where all the girl knows is to ask you for this or that, whenever they see anything then they want it.

Sometimes I would say its the guy's fault because at first some guys when they approach a girl for the first time, they approach from the angle that they have money, that they can provide for their every need.

So when the guys approach them this way, what do you expect from the girls. Let's discuss this. What's your opinion?
Hii imekuwa ni sababu kubwa sana kwa wanawake kuchezewa na kuachwa kwa kuonyesha tamaa ya pesa mara wanapoanza mahusiano,kiuhalisia sio wanaume wote wenye vipato vikubwa,lakini inapofikia kupenda unaweza kumpenda hata mtu asie wa level yako,sasa ukiangalia uwezo wa kumtunza hana,kinachofuata wanaume huitafuta hiyo hela kwa nguvu zote,na yuko tayari hata kuiteketeza mara moja ili mradi awe amempata mdada aliempenda kwa kumdanganya kuwa yeye ni mambo safi,lakini kwakuwa sio wa level yake kinachofuata ni kuingia mitini akikwepa aibu ya kuonekana hana hela...
 
Most girls arent even looking for Love but Help...
No wonder kimboka is overloaded
Kumbe ndiko unakofanyia shughuli zako dada!!
Haya kazi njema, endelea kuoverload huko sijui wapi.
nilikwanbia uache ku speculate. Sijui kwanini huelewi.

Ndio shida ya kuwa goal keeper hiyo, kichwa kinakuwa kigumu kama jiwe la Chamwino
Sasa dada kule unasema wewe jobless, mara wewe goal keeper wakati kumbe una kazi kabisa. Pambana.
My sisy jael a.k.a atoto Usichukulie maneno yangu so seriously au too personal.

Naandika ku refresh mind tu.

Basically i aint entitled to whatever i type.

Hopo me n u are in good terms

One
Kwahiyo hapo ndio umemaanisha unakwenda kule kazini kwako au? Haya kazi njema.
Working from UDART HQs.

Karibu tukuhudumie
Hapo juu si umetwambia unafanya kazi kimboka sijui ndio wapi, sasa hivi umebadili eneo la kzi
"Nimewaambia wewe na nani wengine ?"

Nahisi ukiwa shule kile kipengele cha ufahamu/comprehension kilikuwa kinakupeleka puta sana kama sentensi fupi fupi ninazoandika unashindwa kuzielewa.
Kwani hicho uliandika public au private binti comprehension?
Comrehension ni nini dada yangu, umeniacha hapo
Nikuulize wewe binti.
jamani!

Usipoangalia mitandaoni unapoteza kujiamini kabisa yaani.
 
Back
Top Bottom