Can u be my best friend??!!

Can u be my best friend??!!

OOOH Yes. Willingly kabisa kabisa. by the way, why not?
 
Tatizo ubaguzi mwingi ngoja waliotimiza vigezo waje
 
Hi guyz, an a gal aged25 nyamwez frm Tabora Tanzania. Am searchng for a friend frm any place bt aged frm28-60. Any tribe bt not makonde, mwera, yao. U are warmly welcome.

You are just 25 then you are searching up to 60.Wewe unataka kuwa nyumba ndogo then umpindue mama mwenye nyumba maana nyie wanawake wa kinyamwezi hamna maana kabisa
 
You are just 25 then you are searching up to 60.Wewe unataka kuwa nyumba ndogo then umpindue mama mwenye nyumba maana nyie wanawake wa kinyamwezi hamna maana kabisa

kwani kasema anatafu mtu wa kungonoka naye?
 
karibu sana hapa ndio penyewe. Na hao uliowataja kwa bahati nzuri under 28, wamakonde na wamwera humu hawapo. I can assure u!
 
Not lyk that wangu. Hakuna mweny shda na ngono hapa. Just kubadilshana mawazo
 
Haya mama karibu sana jf ndio mpango mzima utapata marafiki wengi ushindwe wewe. Sema wengine wana wivu , ushawahi kupata rafiki mwenye wivu . Basi wapo mpendwa wangu.
 
Harafu mimi wanyamwezi huwa nawapendaga kweli. Ebu jaribu kuni PM ka namba kako ka cm!
 
Back
Top Bottom