Can this end justfy the means?!

kwa hiyo wake zetu hawaibi!????!RUKSA TU KUFANYA LOLOTE NA HELA ZETU?

You can say that again. Kama mimi nikiishiwa naingia kwa kibeti cha wife najichukulia mkwanja huyooo nasepa zangu kaunta. Mama wala hasemi kitu, si nimechukua mali zangu bana! Sijamwibia.
 
inaonekana kama sio kosa!
pia hata wake zetu wakitusachi pia SIO KOSA!
tunaokoelekea watakuja kutushika sharubu hawa.....halafu litakuwa SIO KOSA:D

Hahaha! Hapo kwenye sharabu hapo! Inategemea kazishikaje, una mood gani na ni wakati gani. Hahaha! Nimekugongea senksi kwa ajili ya hiyo bold tu lakini.
 
Huyu Mwanamke ni mwenyebusara sana..Really i appreciate to what she did, otherwise hali ya family ingekuwa mbaya ajabu!
Woote mmeongea sana matukio ya kwanza, lakini hili tukio la mwishoni la Mama kuchukua pango la nyumba yake, ndo linaniacha hoi!
Alikuwa akipeleka wapi hizi hela (600,000/=pm)? au ndo hizo walikuwa wakila?
By the way, hali hii ni kawaida sana katika majumba yetu...Mama unampa hela za bajeti ya msosi, yeye anatumia nusu, na zingine anacheza kibati, ambapo unakuta in one way or another mnaweza mkafaidi wote hizo hela za kibati tena...!
Hii ni complex situation, ambayo inamtegemea sana mtendewa anatafsiri vipi haya mambo...Vinginevyo mtu mwingine anakuondoa, hata kama umejenga bangaloo gani, bora lawama kuliko fedheha!
 
fidel sema anavaa shati la mikono mifupi sana, mwambie siku moja moja apige long sleeve basi!!!

Hahaha! Papaa fidel mutu ya pesa mingi. Akiwa na ndovu kadhaa kichwani nini long sleeve shirt. Anapiga long sleeve suit kabisa
 
Back
Top Bottom