Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,109
- 16,681
muda mwingine wanaume tuache tabia kujipendekeza.
ukiona upo kwenye event halafu mwanamke katoka pembeni kidogo, ujue kaenda kujamba asiharibu hali ya hewa.
sasa wewe na kiherehere chako! sorry can I join you?? ujoin nini sasa kujamba au??
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]