Hebu niambieni akina mama/dada wenzangu.Pengine nina rafiki nataka kupeleka mahusiano katika hatua nyingine labda ndoa tuseme.Na huyu mlengwa pengine ana tabia fulani au tuseme mazingira fulani ambayo nisingependa awe nayo katika hiyo level nyingine.
Kwa mfano ni mwizi/jambazi,mlevi,Fukara(hana hela wala kazi-naweza kusema ni mvivu) na mambo kama hayo.
Na pengine nishamwambia kuwa sipendi 1,2,3......ya hizo tabia na akaahidi kuwa atabadilika.
Vilevile katika interraction mbali x2 na marafiki hasa wanaume mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.
Sasa swali langu ni kuwa Is this true?
Wakina kaka pia mnaweza kuniambia eti mnaweza kubadilishwa na wanawake mkawa waume wema wenye kuonyesha mfano mwema?
Chrispin naomba usiingie kwenye hii thread inakuhusu
...huwezi kumbadilisha, ni yeye pekee mwenye uwezo wa kubadilika (akitaka.) Unachoweza kumsaidia ni 'kugundua' chanzo cha tabia zake mbaya. Jadiliana nae na tena akubali udhaifu wake, kisha mwenyewe ('labda' kwa msaada wako) aanze mkakati wa kubadilika kuelekea kiwango ambacho nyote mtaafikiana nacho.
Be patient ('Ukitaka.') Relationship's about compromising, tunatofautiana tabia, uwezo na maamuzi.
Mwanaume yeyote anaweza kubadilishwa na mkewe, lakini sio kila mwanaume anaweza kubadilishwa. Actually mabadiliko makubwa yanatokea katika stage ya uchumba, kama huku imeshindikana, sahau kwenye ndoa...
HAHAHAHAHA!Unataka abadilike........well jiandae pia na hasara za mabadiliko hayo..........mwenzio mmoja huko uswazi alikuwa akilalamika ooh jama nachelewa kurudi oooh anatumia muda mwingi na marafikize ...............jamaa akabadilika; ni kupatikana home full swing! na ndo hapo kutaka kula chakula kila akijisikia!..............malalamiko yakaanza upya!:A S-eek:
hahaaaa mabadiliko mengine sio ya kuombeaUnataka abadilike........well jiandae pia na hasara za mabadiliko hayo..........mwenzio mmoja huko uswazi alikuwa akilalamika ooh jama nachelewa kurudi oooh anatumia muda mwingi na marafikize ...............jamaa akabadilika; ni kupatikana home full swing! na ndo hapo kutaka kula chakula kila akijisikia!..............malalamiko yakaanza upya!:A S-eek:
naona hapa uvumilivu umekushinda IMEBIDI UPOSTI TU!hahaaaa mabadiliko mengine sio ya kuombea
naona hapa uvumilivu umekushinda IMEBIDI UPOSTI TU!
haijambo ''bidhaa feki?''
hehehehe!naona sasa inabidi ukajifunze karate sasahahaaaaa mpwaz bwana unaniangusha majaribuni mwenzio nipo SA hata malazi sijapata!!!
bidhaa feki uwiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!! I love u mpwaz lol!!!!!
ntakwambia kipembeni bana!! ila namshuku GS
1.kwenye ndoa si mahala pa kubadili tabia za msingi labda mchumba awe below 20 yrs
2.tabia ndogo ndogo zaweza badilishwa,kama kuwa msafi...unaweza mbadili.
3.zile tabia zake mbaya,idadi yake zidisha kwa mbili ndizo jumla ya tabia zake zote usizozitaka......nina maana zipo tabia zingine mbaya kabisa hutazijua kamwe hadi uolewe.....usitishike ni mambo ya kawaida.huyo jamaa yako sie yeye wa baadae.
4.hakuna mtu anaeoa/kuolewa na malaika, kila mtu ana kasoro nyingi tu ,hata wewe unazokasoro zako dawa nikuvumiliana
5.akikupenda sana sana,i mean sana...yaani kuzidi maelezo(na sijui utafanyaje hadi awe hivyo)basi aweza kuwa vile upendavyo kwa muda....penzi likichuja anarudia tabia yake ya awali.
6.kwenye uchumba kila mtu ni kondoo,mpole mwema,anajali....kila utakachomweleza ni ndio,yaani hapo nidhamu ni mia.baada ya ndoa nidhamu ni sifuri........
Inapungua hadi siku itafika sifuri.
Hata hivyo usijali sana....ni mawazo yangu tu. Mng'ang'anie sana huyo jamaa hadi kieleweke....si unajua tena?achana na mambo ya kumpekua pekua kuku,utashindwa kumla.
HEHEHE!
umeona eeeehhhhh!
tuimbe kidogo aiseeeee
ANAMEEREMETAAAAAAAAAA.....anameremeeta
charity anameremetaaaaa ANAMEREMETAAAAAAAA!
jeiesi hebu kapitie pitie madesa yako ya accounts naona unakaribia kuchukua kazi
Hebu niambieni akina mama/dada wenzangu.Pengine nina rafiki nataka kupeleka mahusiano katika hatua nyingine labda ndoa tuseme.Na huyu mlengwa pengine ana tabia fulani au tuseme mazingira fulani ambayo nisingependa awe nayo katika hiyo level nyingine.
Kwa mfano ni mwizi/jambazi,mlevi,Fukara(hana hela wala kazi-naweza kusema ni mvivu) na mambo kama hayo.
Na pengine nishamwambia kuwa sipendi 1,2,3......ya hizo tabia na akaahidi kuwa atabadilika.
Vilevile katika interraction mbali x2 na marafiki hasa wanaume mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.
Sasa swali langu ni kuwa Is this true?
Wakina kaka pia mnaweza kuniambia eti mnaweza kubadilishwa na wanawake mkawa waume wema wenye kuonyesha mfano mwema?
Chrispin naomba usiingie kwenye hii thread inakuhusu
Hebu niambieni akina mama/dada wenzangu.Pengine nina rafiki nataka kupeleka mahusiano katika hatua nyingine labda ndoa tuseme.Na huyu mlengwa pengine ana tabia fulani au tuseme mazingira fulani ambayo nisingependa awe nayo katika hiyo level nyingine.
Kwa mfano ni mwizi/jambazi,mlevi,Fukara(hana hela wala kazi-naweza kusema ni mvivu) na mambo kama hayo.
Na pengine nishamwambia kuwa sipendi 1,2,3......ya hizo tabia na akaahidi kuwa atabadilika.
Vilevile katika interraction mbali x2 na marafiki hasa wanaume mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.
Sasa swali langu ni kuwa Is this true?
Wakina kaka pia mnaweza kuniambia eti mnaweza kubadilishwa na wanawake mkawa waume wema wenye kuonyesha mfano mwema?
Chrispin naomba usiingie kwenye hii thread inakuhusu
Tatizo lipo hapa kwenye kubadilika mwenyewe ,nitajuaje anataka/ana nia ya kubadilika hata kama amesema anataka mabadiliko? Mawazo ya mtu kuyasoma ni kazi kweli.........huwezi kumbadilisha, ni yeye pekee mwenye uwezo wa kubadilika (akitaka.) Unachoweza kumsaidia ni 'kugundua' chanzo cha tabia zake mbaya. Jadiliana nae na tena akubali udhaifu wake, kisha mwenyewe ('labda' kwa msaada wako) aanze mkakati wa kubadilika kuelekea kiwango ambacho nyote mtaafikiana nacho.
Be patient ('Ukitaka.') Relationship's about compromising, tunatofautiana tabia, uwezo na maamuzi.
Kumtafuta ninayeendana kitabia,??????.....INAWEZEKANA lakn sio kirahisi kama unavyofikiria.Mheshimiwa Ramois haya mabadiliko ya wanaume ya kwenye uchumba yanaitwa "impression management" ni ya muda na yana lengo maalumu la kumnasa mwanamke hasa yule anayetanguliza mabadiliko kama jambo la msingi kabla ya kukubaliana na mwanaume.
Swali langu ni kuwa hivi kwa nini umtafute mtu wa kumbadilisha wakati unaweza kumpata mtu ambaye ana tabia unazodhani kuwa zinaendana na taste yako? Kujibu swali la msingi: huwezi kumbadilisha mwanaume mtu mzima labda kama una mchumba ambaye bado ni minor.
Kumtafuta ninayeendana kitabia,??????......
Endelea Konakali..........Just to suggest few.....
Malizia sentensi hii....Naona kama haijakamilika vile.Niwe makini na watu gani? ninaoendana nao kitabia?( wamaanisha kuwa wanaweza kuwa mbwamwitu wenye ngozi ya kondoo?)Kuwa makini maana wengi wameolewa au kuoa na watu walio wadhania.