Kwa maoni yangu usaliti unasabaisha mhusiano, mapenzi, uaminifu kupungua kwa wapenzi baada ya moja kufahamu anasalitiwa.
Ila kuna upande mwingine unaamini kwamba usaliti unafaida katika mahusiano.
Wengine wanasema usaliti usaidia kuongezeka kwa zaidi Love making position kuliko kuwa katika mahusiano ya mapenzi yale yale ya wawili wa siku zote. Some people believes it is wat peoples relationship need to move ahead
so I just want to know if there are situations where cheating can ever be acceptable and how?