Can a guy do this?

tracy

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
785
265
If a guy really loves a woman,anaeza kumwambia aende kwa mwanaume mwingine?i have seen 2 o 3 cases watu wamegombana na mwanaume akasema hivi..N:B the ladies walikuwa faithful sana..je ni wanaume wamewachoka au?am curious to know. HAPPY NEW YEAR TO YOU ALL..
 
ngoja niwasikilize, niliwahi kuambiwa hivyo, sikuamini ila baada ya mda nikagundua alimaanisha alichosema
 
ngoja niwasikilize, niliwahi kuambiwa hivyo, sikuamini ila baada ya mda nikagundua alimaanisha alichosema
pole my dia,.my view z dat hata kama nigombane na mtu vipi,siezi kumwambia nenda kwa msichana fulani..that means sijali au wisdom imenipita.
 
asante mpenzi, ilikuwa ugomvi mdogo tu, tena yeye ndo aliuanzisha, nadhani alikuwa anatafuta sababu ya kuondoka tu
 
Ndo zao my dear kututafutia sababu wakiwa wamechoka au wameona kwingine,na wengi wanaofanya hivi ni miananume isiyojiamni,isiyoweza kufanya decision na ikasimama kwenye decision zao na kubaki kuwa wakweli kwamba mmefikia mwisho,anaanza visa halafu anapotea. i call them assclowns!Na always make sure you slap him au mwagie chochote ili ajua he has to man up and act like a real man kwa anayefuata.this is my principle.
asante mpenzi, ilikuwa ugomvi mdogo tu, tena yeye ndo aliuanzisha, nadhani alikuwa anatafuta sababu ya kuondoka tu
 
Au tuwape dedication ya NO BOYS ALLOWED(Keri hilson),.how to differentiate boys from men!.unaeza kukuta yuko 40 but stl a boy!.
 
wapo watu crazy enough.....

mimimwanamke akiniambia nenda kwa mwingine sitanii naenda kweli....
 
Back
Top Bottom