Vifo...vilema...majeruhi...wajane....yatima......!
Jamani tuache kuchochea damu kumwgika...libya watu zaidi ya 1,000 wamepoteza maisha kwa sisi watumiaji wa mitandao kuchochoe vurugu huko nyumbani....sisi tupo nje ya mwanza na pengine nje ya nchi....eti tunawachochoe wenzetu yawakute yaliwakuta wa nchi za kiarabu......!
Sisi ndo ma-great thinker kweli? Ati tunachochea vurugu nyuma ya kompyuta zetu na simu zetu......! Tutakuwa wa-kwanza kulia humu kuwa tumepoteza mjomba ,shangazi,binamu ,rafiki,workmate na kadhalika kwa ujinga wa dubwana liitwalo siasa......lets wake-up and stand as one
i love tanzania