Cameroon nao haoooooo.......Tanzania tuko wapi katika hili?

sijuikitu

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
286
12
Opposition groups in Cameroon are planning "Egypt-like" protests Wednesday to call for the president's ouster after almost three decades in power.
President Paul Biya is running for re-election later this year.
"People yearn to see a change in government. He's been in place for 28 years," said Kah Walla, 45, an opposition member who is also running for president.

source CNN
Cameroonians plan anti-government protests - CNN.com

Jamani na sisi kwetu lini?
 
Kama tulikua tunasikilizia nchi ya weusi kuanza, naamini sasa visingizio kutakua hamna..................
 
JK is only 6 yrs in power so bado hiyo reason ya cameroun can not work for us. unless there are other reasons.

Maandamano yanahitaji kuandaliwa psychologically maana kuandamana kunamaanisha vifo, ulemavu na majeruhi mengi tu, nani awe wa kwanza kutoka na kukumbana na hayo?
 
Haya sasa...Mambo ya Waarabu, WAARABU, WAARABU...Hakuna waaarabu sasa...ni kilanchi inataka mageuzi ili mabwanyeye wajue kuwa wanawekwa na watu na muda wowote wakimisbehave wanatimuliwa!
 
Opposition groups in Cameroon are planning "Egypt-like" protests Wednesday to call for the president's ouster after almost three decades in power.
President Paul Biya is running for re-election later this year.
"People yearn to see a change in government. He's been in place for 28 years," said Kah Walla, 45, an opposition member who is also running for president.

source CNN
Cameroonians plan anti-government protests - CNN.com

Jamani na sisi kwetu lini?

Yote hayo,hayafanani na Tanzania.Tunisia (Ben Alli) 23 yrs,Egypt(Mubarak) 30yrs,Libya (Gaddafi) 40 yrs na sasa Cameroon(Biya) 28 yrs mbona ni watu tu na miaka yao ya kukaa madarakani.Tanzania (Kikwete) 5 yrs wapi na wapi?
 
SAFI SANA SASA NGOMA IMEINGIA KWA WEUSI NAFIKIRI HIKI KIRUSI KINAKUJA HUKU TUKIPOKEE KWA HESHIMA NA TAADHIMA

natamani kianze kazi kesho kule Mwanza ;;
 
JK is only 6 yrs in power so bado hiyo reason ya cameroun can not work for us. unless there are other reasons.

Maandamano yanahitaji kuandaliwa psychologically maana kuandamana kunamaanisha vifo, ulemavu na majeruhi mengi tu, nani awe wa kwanza kutoka na kukumbana na hayo?
Kweli kabisa JK ni miaka sita tu sasa na 2015 hawezi kuendelea tena, lakini ccm ni karibia miaka 33 + ya TANU ni 50 nusu karne na bado 2015 wataiba kura sasa inatosha waondoke waache sera nyingine zitawale na itatusaidia sana. Uprising ni muhimu TZ
 
JK is only 6 yrs in power so bado hiyo reason ya cameroun can not work for us. unless there are other reasons.

Maandamano yanahitaji kuandaliwa psychologically maana kuandamana kunamaanisha vifo, ulemavu na majeruhi mengi tu, nani awe wa kwanza kutoka na kukumbana na hayo?
6 years may be worse than 30 years in power hata kama umekaa mwaka mmoja kama haufai unaondolewa tu. Kinachopingwa ni system na CCM iliyopo madarakani kwa miongo zaidi ya 3 ukiunganisha na TANU inafika miaka zaidi ya 50. Halafu hao majeruhi unaowasema there is no gain without pain kama tungeogopa vifo tusingepigana vita na Uganda.
 
JK is only 6 yrs in power so bado hiyo reason ya cameroun can not work for us. unless there are other reasons.

Maandamano yanahitaji kuandaliwa psychologically maana kuandamana kunamaanisha vifo, ulemavu na majeruhi mengi tu, nani awe wa kwanza kutoka na kukumbana na hayo?

Hizo ni akili mgando kusema JK has been in power for only six year, so he can't be removed.... We don't measure somebody stay in power, just ask yourself what JK has done for Tanzanians in those six years? Kwahiyo unachosema Ghadafi abaki maana kuna neema nyingi tu kule cuz of him, but people are tired of him. Somebody should come na kuendeleza..... JK deserves kuondolewa, kama wewe amekufanyia mazuri basi uko karibu na RA, EL etc......
 
Yote hayo,hayafanani na Tanzania.Tunisia (Ben Alli) 23 yrs,Egypt(Mubarak) 30yrs,Libya (Gaddafi) 40 yrs na sasa Cameroon(Biya) 28 yrs mbona ni watu tu na miaka yao ya kukaa madarakani.Tanzania (Kikwete) 5 yrs wapi na wapi?

Acha akili mgando and think out of the box..............
 
Yote hayo,hayafanani na Tanzania.Tunisia (Ben Alli) 23 yrs,Egypt(Mubarak) 30yrs,Libya (Gaddafi) 40 yrs na sasa Cameroon(Biya) 28 yrs mbona ni watu tu na miaka yao ya kukaa madarakani.Tanzania (Kikwete) 5 yrs wapi na wapi?
Miaka mitano lakini Kikwete anafanya mabaya zaidi ya Gadaffi alivyowafanyia wa libya kwa miaka 30, anatuibia nje nje (Dowans) I will never forget.
 
Mioyo ya wazalendo ilipasuka tulipoona kijana anatumia wafanyabiashara na pesa zao kuingia ikulu maana tulijua uwezo wake na mbinu zote chafu twazijua....na kimbilio lake la udini!!uwezo hana IQ ndogo sana...alitaka aandikwe tu kwenye historia hakuwa na la kutufanyia......kiherehere kitamtokea puani soon....kama Mubarak na wenzake
 
JK is only 6 yrs in power so bado hiyo reason ya cameroun can not work for us. unless there are other reasons.

Maandamano yanahitaji kuandaliwa psychologically maana kuandamana kunamaanisha vifo, ulemavu na majeruhi mengi tu, nani awe wa kwanza kutoka na kukumbana na hayo?
Kwa hiyo hata dikteta atutawale tu kwa vie ataongoza mwaka mmoja, you must be joking.
 
Yote hayo,hayafanani na Tanzania.Tunisia (Ben Alli) 23 yrs,Egypt(Mubarak) 30yrs,Libya (Gaddafi) 40 yrs na sasa Cameroon(Biya) 28 yrs mbona ni watu tu na miaka yao ya kukaa madarakani.Tanzania (Kikwete) 5 yrs wapi na wapi?

hatuangalii hilo hii kijani manjano lazima tuipe shida itangoka tu...si hamuijui Dowans nyie ? subirini tu upuuzi wenu tumeichoka.. kila siku sinema haziishi khaa! lets try to change the Director and see maana kama nimakosa tushayafanya so sitashangaa kama tutakosea but atleast we try..
 
JK is only 6 yrs in power so bado hiyo reason ya cameroun can not work for us. unless there are other reasons.

Maandamano yanahitaji kuandaliwa psychologically maana kuandamana kunamaanisha vifo, ulemavu na majeruhi mengi tu, nani awe wa kwanza kutoka na kukumbana na hayo?

sidhani kama sbb za mabadiliko yote ni kiongozi kutawala muda mrefu tuu.. na kama ni hivo basi na sisi pia sbb ni ccm kuwepo madarakani muda wote na zaidi inchi inakufa nausanii wao uliokithiri

UOGA WETU NDIO SHIDA ZETU!!
 
Opposition groups in Cameroon are planning "Egypt-like" protests Wednesday to call for the president's ouster after almost three decades in power.
President Paul Biya is running for re-election later this year.
"People yearn to see a change in government. He's been in place for 28 years," said Kah Walla, 45, an opposition member who is also running for president.

source CNN
Cameroonians plan anti-government protests - CNN.com

Jamani na sisi kwetu lini?
Sasa uhakikishe kwamba wakati wote tunakutegemea wewe kwa updates juu ya Cameroon mpaka kieleweke na wala si kuleta tu kijipengele halafu uje upotee!!! Big up sana kwa ripoti yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom