Cameroon: Mabasi 89 yaliyotumika Afcon 2021 hayajulikani yalipo

Watakucheka mno, si unaona wapenda haki wanavyo simangwa. Kikubwa mtindo wa sasa ni hela mkononi, iba iba iba iba iba ukipata nafasi, hakuna atakaye kuonea huruma usipoiba na hakuna atakayekupongeza kwa kuwa muadilifu, badala yake ukitoka tu watasema mnoko kaondoka watafanya sherehe na ikiwezekana watakuua kama Dkt Magufuli halafu waanze kushangilia kama Zitto
Nyie ccm mnaipeleka wapi nchi?
 
Mabasi 89 kivipi.

89/24 ni kama basi 4 kwa kila nchi
Mkuu hakika hii ni ajabu na mshangao mkubwa sana. How can't 89 buses be traciable hata kama wafanyakazi hawajalipwa?! Mamlaka za usimamizi zipo wapi?
 
Africa ukipata nafasi butua najua hii vita anaandaliwa etoo wamtoe pale baada ya kumpa rafiki yake team wengi hawakukubaliana nae show imeanza etoo anaundiwa zengwe mapema.
Mbn sasa huyo rfk yake kapeleka time fida
 
Hiyo ya Cameroon cha mtoto. Siku FIFA wajichanganye worldcup ifanyike tz watajua hawajui. Hadi ndege na helicopter zitafichwa.
 
Back
Top Bottom