Camera- samsung

Mrekebishaji

Senior Member
Mar 19, 2009
168
63
Wadau nina camera aina ya SAMSUNG, inanisumbua, nipo mikocheni B, kwa warioba naomba ushauri wa wapi karibu naweza kupata fundi mzuri wa kutengeneza. Kiufupi ni kwamba ile cylinder ya flash hai-move. Nitashukuru kwa msaada hata kwa meseji kwenda 0784 419030
 
Nenda pale kariakoo kuna jamaa mwenye asili ya kihindi ni fundi mzuri sana wa vifaa vya electronics mpigie simu 0787368017 au 0713467833
 
nenda posta pale azikiwe ukifika roundabout ya sanamuzya askari aliyeshika bunduki nenda mkono wako wa kulia ukitokea azikiwe kuna duka la maagent wa sumsung wana mafundi wao pia, si mtaalamu sana wa mitaa ya dar ila najua umepata picha kamili. mafundi wa k\koo hawana ujuzi wowote walinharibia kamera yangu ya yashca. nilienda pale kwenye hilo duka la sumsung nikawaelezea tatizo wakaniambia tatizo lake na kwa sayansi ya jicho na kanera naijua iliwakubali. go and try mi nampango wa kwenda ila niko nje ya dar
 
Back
Top Bottom