Camel Concrete: Wakandarasi Tutawaogopa kama Ukoma

Camel Concrete: Wakandarasi Tutawaogopa kama Ukoma

Shuka kidogo hapo dips nilipata zege la dili ongea Na madeleva, waka mwaga uani tope baasss tena
Mkuu, hao DIPS washafunga Shughuli zao,wameshindwa kuhimili Ushindani. Washang'oa Mixers zao na hio Site yao sasa hivi inasafishwa kwa ajili ya Shughuli nyingine!!..
 
Kutokana na matumizi yake zege inaweza ikawa
1: kawaida
2:Mkauko wa haraka
3: Nguvu na uimara wa haraka
4: kujengea kwenye kiwango kikubwa cha kemikali
Sasa hapo bado Hakuna gred's ilikua tutambue kaagiza ipi na kaletewa ipi ndio tuwahukumu.
 
Sasa hapo bado Hakuna gred's ilikua tutambue kaagiza ipi na kaletewa ipi ndio tuwahukumu.

Sawa kabisa, hata grades nazo zinatokana na matumizi.
Blinding
Floor screeding
Beams columns
Slabs

Kutokana na maisha ya jengo au structure na mzigo utakaoubeba ndio utaweza amua grade
 
Sawa kabisa, hata grades nazo zinatokana na matumizi.
Blinding
Floor screeding
Beams columns
Slabs

Kutokana na maisha ya jengo au structure na mzigo utakaoubeba ndio utaweza amua grade
Ndipo nilipomaanisha isijekuta kaagiza m10 akamiminia base.
 
Back
Top Bottom