Calling Jesus God is it a sin? Or an act of devish?

Binafsi ningependa unieleweshe jambo moja ambalo linanisumbua sana.
Hivi hao wakina Luka, Mathew etc. Ndo waliokuepo wakati wa yesu na ndio walioandika hii biblia yetu?
Hivyo vitabu vinne vya "injili" ukivisoma ni wazi kuwa havijaandikwa na wanafunzi wa yesu
 
Asante mkuu. Swali jingine, walioandika hivo vitabu walikua na uhusiano gan na yesu
Jibu ni kuwa Ambaye hakua mwanafunzi wa Yesu Ni Luka Tu....Yohana yeye ameandika na Waraka wa Yohana pamoja na Ufunuo wa Yohana kisiwani Patmo....

Kuhusu majibu deep nimekwisha jibu nyuma ..tena nimemjibu huyo aliyejaribu kukupotosha....
 
Majibu Hayo hapo 👆👆👆
 
Mijadala kama hii ndiyo ambayo ilimuibua Ahmed Salman Rushdie na andiko lake la 'Aya za Shetani" na hatimaye kuibua taharuki kubwa. Kila mtu ajikite katika imani anayoiamini yeye binafsi.

Tukianza kutafuta kasoro katika imani isiyokuhusu basi nawe uwe mvumilivu katika kukosolewa. Ni lazima tutambue katika misimamo ya kidini ni kama tupo ndani ya nyumba ya chupa, mawe yakianza kurushwa ni dhahiri hakuna atakayebaki salama.

Kama Biblia inaufunua kwa uwazi kabisa Uungu wa Bwana Yesu Kristo, basi fundisho hili libaki hivyo kwa yule anayeaamini. Kama Kurani nayo ina mafunuo yake kupinga fundisho basi ibaki hivyo kwa wale wanaoamini hivyo.

Ila ukweli utabaki kuwa Mungu si kigeugeu kama mwanadamu. Yeye alivyo ndivyo hivyo alivyo, ukipitwa na ukweli wake hiyo ni shauri zake. Cha muhimu ni kuwa mcha Mungu na siku zote kujitahidi kutunza sheria zake.
 

 
You need to understand this one first, before you proclaim your nonsense;

Yohana 1:1-5
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
The same was in the beginning with God.
[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
[4]Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
In him was life; and the life was the light of men.
[5]Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
And the light shineth in darkness; and the darkness comprehended it not.

Conclusively; Jesus is God, for God exists in three forms; Father, Son & Holy Spirit.
 
Thats a myth just a imagination, can't be a reality
 
Hello wanajamvi,

Ningependa kuchangia bila kuwa upande wowote maana mimi naamini aliyetuumba hana dini wala dhehebu ivyo sipo dini yeyote wala dhehebu lolote.

Aliyetuumba yaani Mungu Baba ambaye ndiye CHANZO HALISI cha mema na mazuri anafanya kazi kwa majira ya jambo husika.tunaona kabla ya kumuumba Adam juu ya nchi kwanza alimuumba kerubi ampe sifa ukisoma Ezekiel 28:13-15 Utaona hilo hata alipoanguka ndipo akaja kufanya uumbaji wa Adam juu ya nchi, Adam nae alipoanguka akaendelea na uumbaji wa nuhu, nae Nuhu alipolewa na kulaani watoto, akaendelea na uumbaji kwa Mussa kwa kuwatoa wanawaisrael utumwani, Mussa nae alipozidiwa na malalamiko akawalaani wanawaisrael ndipo akaambiwa kaanani ni kule ila hutafika, Bado Mungu Baba aliendelea na uumbaji kwa Eliya mtishbi wa kujenga madhabahu Bwana na kuvunja madhabahu za manabii wa baali na yezebeli 1falme 18 ila alipoanguka kwa kujiombea kufa katika 1falme 19:4.

Mungu Baba aliendelea na uumbaji kwa Yesu ambaye nae pia tunaona walimwibia alivyokuja navyo ukisoma mathayo 21:33-43 "Lakini wale wakulima walipomwona yule mwana, wakasemezana wao kwa wao, Huyu ni mrithi; haya na tumwue, tuutwae urithi wake."

Yesu ni nabii ukisoma katika Yohana 4:44 "Kwa maana Yesu mwenyewe alishuhudia ya kwamba nabii hapati heshima katika nchi yake mwenyewe". Hivyo majira ya Yesu ilipofika japo alifundisha watu wa mwabudu Baba lakini kutokana na miujiza aliyofanya na alipouliwa msalabani wakalazimisha kumuabudu yeye. hata ukiangalia sala ya baba yetu aliyowafundisha wanafunzi wake utaona hilo kwa wale waliokatika ukristo watakuwa wanajua hilo.

Lakini Yesu aliwaambia katika:-

Yohana 4:23 "Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu"
So hapa tunaona anayepaswa kuabudiwa ni Mungu Baba maana yeye ndie Muumbaji na sio mwana maana majira yake imepita.

Na Sasa ni majira ya kumuabudu aliyeumba yaani Mungu Baba ambaye ndie CHANZO HALISI ukisoma katika 1wakorintho 15:24-28 tunaona hilo.
 
Point of correction; an imagination, not "a imagination"

Now, bring the reality from a biblical perspective, or stop whimpering.
The entire Bible has been interporoted and extrapolate by selfish capitalist Christian leaders nothing authentic can be picked as per now
 
The entire Bible has been interporoted and extrapolate by selfish capitalist Christian leaders nothing authentic can be picked as per now
If you can't pick anything from the bible, then you ought to stop querying anything from it.
Do it a favor and move a bow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…