Hii inaonyesha wazi kwamba humjui Mungu.Yeye hakuna linalo mshinda,Yeye sio mwanadamu,akili zake ziko juu mno na hazichunguziki.Tatizo lako ni kwamba unamlinganisha Mungu na mwanadamu,they are incomparable.si wewe uliyesema kuwa "mungu wako" alisulubiwa msalabani na akafa kwa muda wa siku tatu?
Swali tu la kawaida NI MUNGU GANI AMBAYE ANAKUFA?"
Pili , pindi huyo mungu wako alipofariki ni nani aliyekuwa akiiongoza dunia na kusimamia mambo yote ya viumbe?
What is your basis for saying this,because Christians do not do this.Kwa Mkristo kitendo cha kutoa kafara ni kinyume cha mapenzi ya Mungu.Naomba ufafanuzi katika tuhuma hizi please.Freemasons na other underground societies including the Vatican,ndio wanaotoa makafara watu na vitoto vichanga on a regular basis.U
Ukristo hauna tofauti na "dini" nyingine za kipagani ambazo zinaamini katika kutoana KAFARA (za UUAJI) ili jambo fulani litimie.
Siwezi kushangaa kumuona mkristo kamtoa KAFARA MWANAWE wa kumzaa maana mafundisho hayo atakuwa ameyapata katika biblia tu.
Sipendi Kubishana lakini ningependa unipatie tafsiri za haya maneno ya Yesu mwenyewe👇Imani ya utatu (trinity) ni ya kipagani iliyoasisiwa NICEA nchini uturuki miaka zaidi ya 300 baada ya kuondoka kwa Yesu hapa duniani.
Yesu alifundisha imani ya MUNGU mmoja tu kama hapa chini anaposema
"The most important one," answered Jesus, "is this: 'Hear, O Israel, the Lord our God, the Lord is one. (Mark 12:29)"
Yesu anawaambia wanafunzi wake kuwa MUNGU WETU NI MUNGU MMOJA.
hapo anakiri kuwa yeye na wanafunzi wake wote wanaabudu Mungu mmoja tu.
Kwanza kabisa Yesu ana mamlaka ya Kusamehe dhambi na hili alilifanya waziwazi....Forgiven by WHO?
Kama ni Mungu kwa nini asiseme NIMESHAKUSAMEHE DHAMBI ZAKO?
Hear, O Israel: The LORD our God, the LORD is one. (Deuteronomy 6:4)"
"The most important one," answered Jesus, "is this: 'Hear, O Israel, the Lord our God, the Lord is one. (Mark 12:29)"
Embu acha story tujikite kwenye vifungu vya Biblia tafadhali.....Hakikisha unaleta Agizo la Yesu Kristo Kusupport hoja zako.U
Ukristo hauna tofauti na "dini" nyingine za kipagani ambazo zinaamini katika kutoana KAFARA (za UUAJI) ili jambo fulani litimie.
Siwezi kushangaa kumuona mkristo kamtoa KAFARA MWANAWE wa kumzaa maana mafundisho hayo atakuwa ameyapata katika biblia tu.
Msingi wa Thread ni Yesu ni Binadamu / Mungu ambapo Jibu ni 100% Both..God the Son died according to his human nature. Hakuna binadamu anaweza shinda umauti Lakini Yesu alifufuka baada ya Siku tatu sababu ya Kuwa Mungu 100% Kujibu hili tumekwisha toa vifungu kuprove Uungu wa Yesu ( Rudi nyuma kasome)si wewe uliyesema kuwa "mungu wako" alisulubiwa msalabani na akafa kwa muda wa siku tatu?
Swali tu la kawaida NI MUNGU GANI AMBAYE ANAKUFA?"
Pili , pindi huyo mungu wako alipofariki ni nani aliyekuwa akiiongoza dunia na kusimamia mambo yote ya viumbe?
You have no evidence for that taqqiya.To the big extent bible has been changed by corrupt capitalist Western countries, the stories en tales of Jesus are nothing but myth en fix.
Unaurgue kwa mihemukoForgiven by WHO?
Kama ni Mungu kwa nini asiseme NIMESHAKUSAMEHE DHAMBI ZAKO?
Hear, O Israel: The LORD our God, the LORD is one. (Deuteronomy 6:4)"
"The most important one," answered Jesus, "is this: 'Hear, O Israel, the Lord our God, the Lord is one. (Mark 12:29)"
Kwahiyo jesus ni son of God au Son of man?Unaurgue kwa mihemuko
Hatuamini miungu watatu tuanaamini Mungu Mmoja ambae ni TRIUNE.
FORGIVEN BY WHO??
Mathew 9:6
But so that YOU MAY KNOW THAT THE SON OF MAN HAS AUTHORITY ON EARTH TO FORGIVE SINS”—then He said to the paralytic, “Get up, pick up your bed and go home.”
No one knows the things of God except by the help God himself.
You keep believing in that pedophile slave merchant who married his stepson's wife.
Hii injili ya mathayo iliandikwa na nani? Maana anaesimulia habari hizi za kubumba sio mathayo mwanafunzi wa Yesu...ni nani aliyeibuni hii?Kwanza kabisa Yesu ana mamlaka ya Kusamehe dhambi na hili alilifanya waziwazi....
Matthew 9:5-7
New International Version
5 Which is easier: to say, ‘Your sins are forgiven,’ or to say, ‘Get up and walk’? 6 But I want you to know that the Son of Man(A) has authority on earth to forgive sins.” So he said to the paralyzed man, “Get up, take your mat and go home.” 7 Then the man got up and went home.
Nafikiri hapo kwenye swala la dhambi umeelewa
Kama ni ngumu soma na hii👇
Luka 7:48
Luka 7:48 NEN
Kisha akamwambia yule mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.”
Mathayo 6: 14-16Unaurgue kwa mihemuko
Hatuamini miungu watatu tuanaamini Mungu Mmoja ambae ni TRIUNE.
FORGIVEN BY WHO??
Mathew 9:6
But so that YOU MAY KNOW THAT THE SON OF MAN HAS AUTHORITY ON EARTH TO FORGIVE SINS”—then He said to the paralytic, “Get up, pick up your bed and go home.”
Historia ya Biblia ( Maktaba ) imeainisha waandishi wote wa Biblia....Injili ya Mathayo imeandikwa na Mathayo mtoza ushuru mwenyewe kama ambavyo Yohana alivyoandika Injili ya Yohana Waraka wa Yohana pamoja na Ufunuo wa Yohana (Huku kwenye injili akijiandika kama mtu anayejitazama kwa nje)Hii injili ya mathayo iliandikwa na nani? Maana anaesimulia habari hizi za kubumba sio mathayo mwanafunzi wa Yesu...ni nani aliyeibuni hii?
Mathayo9:9
Yesu aliondoka hapo, na alipokuwa anakwenda zake, alimwona mtu mmoja aitwaye Mathayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. Basi, Yesu akamwambia, “Nifuate.” Naye Mathayo akainuka, akamfuata
Only Mark records the above, and since like other writers of the Gospels, never named themselves in any events, neither did he. It would show that he must have followed Jesus and the apostles out to the garden, or saw the crowd that was headed there and tagged along.
- (Mark 14:50-52) 50 And they all abandoned him and fled. 51 However, a certain young man wearing only a fine linen garment over his naked body began to follow him nearby, and they tried to seize him, 52 but he left his linen garment behind and got away naked.
Mark went with Barnabas and Paul later on the first missionary trip. for some reason, Mark had to return home. Later he worked again with Paul.
- (Acts 12:12) 12 After he realized this, he went to the house of Mary the mother of John who was called Mark, where quite a few were gathered together and were praying.
- (Colossians 4:10) 10 Ar·is·tarʹchus, my fellow captive, sends you his greetings, and so does Mark, the cousin of Barʹna·bas (concerning whom you received instructions to welcome him if he comes to you),
- (Philemon 23, 24) 23 Sending you greetings is Epʹa·phras, my fellow captive in union with Christ Jesus, 24 also Mark, Ar·is·tarʹchus, Deʹmas, and Luke, my fellow workers.
- (2 Timothy 4:11) 11 Only Luke is with me. Bring Mark along with you, for he is helpful to me in the ministry.
Unachoendelea Kuuliza ni Ujinga kama umeshindwa kuelewa Kifungu kilichoelezea mamlaka aliyokuwa nayo Yesu kwenye kusamehe dhambi ...Haimaanishi biblia imejichanganya bali ni wewe na mirengo yako.M
Mathayo 6: 14-16
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu.
Kwa mujibu wa Yesu, aliwafundisha wanafunzi wake kuwa anayesamehe dhambi ni MUNGU wa mbinguni tu.
Je biblia inajichanganya yenyewe??
Kwani Bibilia imezungumzaje kuhusu hayo majina yote?Kwahiyo jesus ni son of God au Son of man?
I'm sorry if I may offend you,Haha who is that bro
I'm sorry if I may offend you,
frankly speaking I read one of your thread and may I submit it to you that you one of the perplexed people in this forum.
1 Corinthians 2:14.
But a natural man does not accept the things of the Spirit of God, for they are foolishness to him; and he cannot understand them, because they are spiritually appraised.
Inaonekana uelewa hafifu.Hii injili ya mathayo iliandikwa na nani? Maana anaesimulia habari hizi za kubumba sio mathayo mwanafunzi wa Yesu...ni nani aliyeibuni hii?
Mathayo9:9
Yesu aliondoka hapo, na alipokuwa anakwenda zake, alimwona mtu mmoja aitwaye Mathayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. Basi, Yesu akamwambia, “Nifuate.” Naye Mathayo akainuka, akamfuata
Binafsi ningependa unieleweshe jambo moja ambalo linanisumbua sana.Kwanza kabisa Yesu ana mamlaka ya Kusamehe dhambi na hili alilifanya waziwazi....
Matthew 9:5-7
New International Version
5 Which is easier: to say, ‘Your sins are forgiven,’ or to say, ‘Get up and walk’? 6 But I want you to know that the Son of Man(A) has authority on earth to forgive sins.” So he said to the paralyzed man, “Get up, take your mat and go home.” 7 Then the man got up and went home.
Nafikiri hapo kwenye swala la dhambi umeelewa
Kama ni ngumu soma na hii👇
Luka 7:48
Luka 7:48 NEN
Kisha akamwambia yule mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.”
Point yako hasa ni niniInaonekana uelewa hafifu.
Elewa context ya mathayo sita na mathayo tisa.
Kuna aina mbili za masamaha
1) Mathayo 6. -
mwanadamu kwa mwanadamu- pale mmoja anapomkosea mwenzie.
nikikusamehe makosa yako simaanishi nimekusamehe dhambi zake
2)Mathayo 9, Psalm 53.
Mungu kwa mwanadamu- huu ni msamaha wa dhambi, uovu na makosa unotolewa na Mungu kwa mwanadam, hata kama mwanadamu akikusamehe
Kwa point yako ni kwamba Yesu alimsamehe mtu yule alopooza kama mtu anomsamehe mwingine alomkosea.
Kama ni ivo basi mtu yule alimkosea Yesu? Jibu ni si kweli.
YESU anawezaje kusamehe dhambi za mtu asomkosea??.