Caller tunes - Inakusaidia nini unayepigiwa simu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Caller tunes - Inakusaidia nini unayepigiwa simu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ozzie, Dec 28, 2011.

 1. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Kuna wakati huwa nafikiria saaana, kwanini watu huwa tunaingia gharama za ku subscribe kwenye caller tunes. Utakuta jamaa ana tunes zaidi ya tano, kila ukimpigia wasikia tunes tofauti tofauti. Bahati mbaya yeye hawezi kusikia caller tunes husika isipokuwa akitumia simu ya mtu kujaribu kujipigia. Kwa nini uweke tunes ambazo zinakufanya ukatwe pesa kila siku japo huzisikii?
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Nothing. Nadhani ni suala la kuwaonyesha wadau wako nyimbo unazopendelea,kuwapa ujumbe na kuwafurahisha wale wanaokupigia ili wasiwe-bored. But kimsingi ni upotevu wa hela
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280

  Yaleyale " watu watakavyo na sio tulivyo"
   
Loading...