Call ya house girl kwa mume wangu

Call ya house girl kwa mume wangu

Labda wao hawakuwaza hayo mambo, ila wewe umechokoza, umeamsha, umehamasisha, na kuziweka hisia za karibu kati yao, kilichobaki sasa mumeo ni kumshika mkono kwenda kumgegeda.. Umemtongozea mumeo bint.. Ulijiona umetumia busara lakini hapo umechemsha. (ALIWAZALO MJINGA NDILO LITALOMTOKEA)
 
Nahisi tatizo ni wewe unependa kufukua fukua mambo, huyo mume wako kama kicheche ni kicheche tu huyo mdada unataka kumuonea bure. Mwambie huyo mume wako atulie kama ana alikuwa anataka kufanya nyendo zozote nawe kuwa na imani la sivyo utakuwa unajipa presha za bure.
 
Pole kwa yaliyokukuta....kosa ulilofanya umetumia strategy mbovu sana....wewe huyo mumeo usingemuuliza chochote....ungerudi zako kimya kimya then ungekagua simu ya mumeo bila yeye kujua...ungepata full ushahidi.....
 
ma-hausi boy ni jipu kwa watoto wadogo na vile vile wababa nao ni jipu lingine kwa ma-housigel ,yaani ni shida! poleni sana kina mama ndani ya ndoa
 
Kuwa na subira na wakati huo huo ufuatiliaji wako wa hawa wawili uwe wa karibu mno ili kupata ushahidi wa kutosha. Unahitaji mtu wa kukusaidia kazi za nyumbani hivyo mwache aendelee kuwepo wakati unaendelea kutafuta mwingine na pia kuna uwezekano hakuna lolote linaloendelea kati yao. Mume kama yumo humu ndani kishastuka.
 
mbona una sound km vile ww ndio mume wa mleta mada vile...tukutumbue nn??[emoji23][emoji23]
 
Angekuwa mwanaume ndo mleta uzi mngesema ni mwanaume wa dar na huyu je kwann msiseme mwanamke wa dar
 
kibaya zaidi ukute mchizi na dada wa kazi wote ni regulary members wa humu jamvini [emoji2][emoji2][emoji2]wakimaliza kusoma comments tu ni mwendo wa kupeana dozi za kufa mtu
 
Yaani mie nimelelewa na mahouse girl, dah nawaheshim kimtindo, sasa na mie nnafamilia na Nina hg analea mtoto wangu, yaani ukitaka mkeo adharauliwe na hg basis wewe mwanaume mgegede house girl wenu....,
 
Wanawake wenzio wa huku wanakudanganya.... sisi wanaume tunajijua! Mwanamke anapokuwa na machepele mingi tunafanyaga kweli! Mumeo inavoonekana wala hana uhusiano na huyo beki tatu sema we una wasi wasi... inaonekana huyu dada kakupiga bao kwenye CHURA ndo maana una hofu... mwamini mumeo
 
Yaani Evelyn si unajua kupata binti ilivo shida sasahivi, sijui naanzia wapi kwakweli najisikia kuumia mno, binti ni mchapakazi, anaamka mapema, anafanya kazi zake vizuri na anaelewa alafu unakuja kumuharibu, wanaume tuhurumieni jamani
mpe uhuru huyo binti ilinae awe anapata nafasi ya kwenda kumaliza shida zake ukimbana sana mtashare tu
 
Duh! Kupiga simu tu nongwa? We mwanamke kimeo aisee, ndio elim za chuo kikuu hizo? Hapo ndio shida inaanza.

Kwa nn unahisi simu hiyo ilikua mbaya?

Humu amini mmeo kiasi hicho?

Utashangaa unachowaza ndio kitatokea kweli (awazalo mjinga humtokea)

Ila wanaume bwana kichwa cha chini kinapiga gem 24/7 so uwe makini

Punguza chansi za kukaa na Hg! Funza wanao kula simpo but healthy food. Have a washing machine for your dishes & cloths, find au machine to clean your house. Siku zingine c lazima kupika, pita kfc au subway au McD drive thru unapunguza chans ya kutaka Hg
 
Yani unamuita mmeo unamkalisha mbele ya house girl kumhoji ajitetee.....*****...***** ...mamaeeee wanawake wababe.
Kiustarab tu mm siwez kukuswalisha mbele ya houseboy ujitetee sembuse mmeo...
Poleni wanaume mnaoteseka duniani kwa kuoa mianamke ambayo kwao tu ilishindikana kwa tabia za ajab ajab....siku mnaona mwanamke kama hili wakwao walifurahi kwel kupunguziwa mzigo wa mawe.......
Sasa kijana wa watu anapelekeshwa na kudhalilishwa......ndio maana wanaume wanakufa mapema wengi sana kuliko hawa viumbe.....
Hapa kama jamaa anaingia humu fukuza hili Ji..n makata litakuua kwa ubabe wake
 
Back
Top Bottom