nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,592
- 2,505
Wakuu msaada,
Kwa siku ya tatu sasa kila nikipiga simu mtu akipokea tu huwa inaniletea hayo maneno hapo juu nimejaribu kuangalia kama kuna mtu anafuatilia simu yangu lakini imenionyesha kwamba not forwarded.
Shida inaweza kuwa ni nini?
Kuna wakati pia naweza kumpigia mtu akawa hanisikii kwa muda fulani
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app