Cag umetufumbua macho wizi wa pesa chadema

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Mmh kwa yanyoendelea chadema wacha nihamie chama cha

bwanayesu

mmhhh hata uliowatarajia kumbe wanajishonesha wanajifanya kufungisha watu mitaani wanakufa na bastola wao wana enjoy life demn politics.......

Thanks cag umetufmbua macho hii dhambi ya ufisadi itawalilia kila sehemu aijalishi wa chadema wala sisiemu wala kafu wala enensisiara mageuzi
 
Kunani tena mkuu, hebu tujuze
 
Hii habari tulianza kuizungumzia since last week, lakini watu walikuwa hawataki kuamini, sasa habari ndiyo hiyo..nani wakumnyoshea mwenzake kidole, hakuna siasa wala vyama vya siasa wote ni walewale tuu, wachumia tumbo.
 
Mmh kwa yanyoendelea chadema wacha nihamie chama cha

bwanayesu

mmhhh hata uliowatarajia kumbe wanajishonesha wanajifanya kufungisha watu mitaani wanakufa na bastola wao wana enjoy life demn politics.......

Thanks cag umetufmbua macho hii dhambi ya ufisadi itawalilia kila sehemu aijalishi wa chadema wala sisiemu wala kafu wala enensisiara mageuzi

Hapa bado hujasema kitu. Tafadhali uwe makini
 
Mmh kwa yanyoendelea chadema wacha nihamie chama cha

bwanayesu

mmhhh hata uliowatarajia kumbe wanajishonesha wanajifanya kufungisha watu mitaani wanakufa na bastola wao wana enjoy life demn politics.......

Thanks cag umetufmbua macho hii dhambi ya ufisadi itawalilia kila sehemu aijalishi wa chadema wala sisiemu wala kafu wala enensisiara mageuzi
Kwenye bold mkuu, hututendei haki wakristo na unaonyesha jinsi ulivyo mtovu wa nidhamu kwa jamii! Hakuna chama cha siasa hapa kwetu chenye hilo jina inabidi utuombe radhi
 
Mmh kwa yanyoendelea chadema wacha nihamie chama cha

bwanayesu

mmhhh hata uliowatarajia kumbe wanajishonesha wanajifanya kufungisha watu mitaani wanakufa na bastola wao wana enjoy life demn politics.......

Thanks cag umetufmbua macho hii dhambi ya ufisadi itawalilia kila sehemu aijalishi wa chadema wala sisiemu wala kafu wala enensisiara mageuzi

Kula kula kula nchi CDM , wajinga wali wao !
 
Hatushindi vita vya kifisadi kwa kufanya bidii ya kuwaonyesha mafisadi wengine. Isije ikawa umekamatwa kwenye wizi na baadaye unajitetea kwamba wewe siyo mwizi kwa kuwataja wezi wengine. GeniusBrain una akili kweli!
 
GB, walivyokuambia ufanye propaganda ndani ya JF hawakumaanisha uwe unachangia hata vitu visivyo na kichwa wala miguu....

Hata hao waliokutuma wakija kusoma habari unazochangia, wataona kweli wamepoteza pesa bure.

Unategemea watu makini wataanza kukupa heshima na kusoma habari zako zote?

Unahaha tangu asubuhi kwa kuja kuandika habari na kujijibu............. Siku Mafisadi wakiondoka, nani atakulisha? Mzoea vya kunyonga, vya kuchinja haviwezi................
 
Tatizo lenu ukweli hamtaki kuusikia , mie hapo na watanzania kwa ujumla ndipo wasipo waelewa
 
Hatushindi vita vya kifisadi kwa kufanya bidii ya kuwaonyesha mafisadi wengine. Isije ikawa umekamatwa kwenye wizi na baadaye unajitetea kwamba wewe siyo mwizi kwa kuwataja wezi wengine. GeniusBrain una akili kweli!

Solution ya tatizo ni kujua tatizo lenyewe, sasa Mungu yu mkubwa tulidhani kwenye upinzani ndio salama , kumbe na wao wale wale. Sasa fagio la chuma la kuwang'oa mafisa inabidi tulipitishe kote kote , chama tawala na wapinzani pia
 
Wakuu kwani Cag amebainisha kitu gani kuhusu Ufisadi ndani ya CDM...Ebu tujuzeni basi nasi tupate kuelewa..
 
Back
Top Bottom