CAG Prof. Mussa Assad, azungumzia jambo muhimu sana kutibu kupanda kwa deni la Taifa. Tutumie Revenue Driven Budget and Not Expenditure Driven Budget

Huyu akisikilizwa tutafika mbali sana...
Anashauri uwajibikaji katika kila sekta, matumizi mazuri na yanayoendana na viambatanisho..
Kifupi anasema ukipata sh. 100, usitumie yote kwa kwa kudhani kuna hela fulani itaingia sijuwi toka wapi, yaani tutumie vizuri, tuweke akiba, na tutumie tunachokipata bila kuwalaza watoto nyumbani njaa kwa visingizio tunafanya ujenzi na kuboresha miundo mbinu bomani....
Watoto wakila, wakivaa, wakisoma na malezi mazuri, hayo maujenzi watafanya wenyewe...
 
Jiwe mkurupukaji, anadhani ataweza. Amini nakuambia hakuna atakalofanikiwa, hata mwaka huu haamii mpaka ngwe ya miaka mitano inaisha hata hamia Dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
profesa mwingine huyu wa kibongo anaeongea kwa kuji contradict kama vile issa shivji aliyesema CAG hana bosi, bosi wake ni katiba!

huyu anasema "tatizo letu ni expenditure driven budgets, huwezi kuwa na sustainable budget kama una expenditure driven budget"

Hapo hapo anasema sio tatizo letu sisi, ni nchi zote!

kwa hiyo dunia nzima hakuna nchi yenye sustainable budget? basi kumbe hii ni world-wide practice, we can't be that bad!

huyu nae ana suffer from footloose arguments, not least because of lousy journalists, no probing follow-up questions
 
Huyu ndio profesa sio yule kabudi kwanza anaangalia upepo, baadae anaishi kubadilika badilika rangi kama kinyonga
 
Pa Pascal please try to structure your questions to avoid yourself from narration.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…