CAG mstaafu ashangaa kesi ya Idd Simba ya fedha za UDA kufutwa

CAG mstaafu ashangaa kesi ya Idd Simba ya fedha za UDA kufutwa

Kuna watu humu ndani kz yao ni kumtukana tu jk,hv kiukweli kbs,yaani kiroho safi jk hana mazuri completely ktk jamhuri hii ya muungano wa Tz?
mie ninaamini jk kafanya makubwa ya maana kuliko rais yyt yule ktk nchi hii ktk sekta zote za uchumi,jamii,kisiasa etc
Ikumbukwe pia jk ni binadamu km tulivyo sisi,kila mmoja ana mapungufu yk km binadamu,no body is perfect,tusilaumu tu na kutukana,tuangalie pia ufisadi na wizi ulikuwa kwa kikwete tu?wizi ulianza sk nyingi sana,watu wamekwiba vya kutosha,si ccm wala cdm wengi wetu ni wezi,wengi hatuna uzalendo na wala hakuna msafi nchi hii,yyt yule ktk sisi hata ikitokea amepata nafasi ktk nchi hii atajiangalia yy kwanza na familia yk,ndivyo tulivyo na huo ndo ukweli

Kama yapo kwenye kila 100kmazuri ni 15 na 85 ni upupu balance mwenyewe upate jibu alafu nenda kiwangwa mkanywe juice ya nanasi
 
Hili la uda hilii mwna mfalmwe wa zamani atakoma na yule msukuma waliemweka kama pambo anapiga kelele tu na kudhihaki Wadanganyika
 
Kuna watubwalidhani wana hati miliki ya hii nchi, namuombea magufuli aliejitoa sadaka kwa kuwashughulikia. Ikibainika hata huyo kikwete kama alihusika na afungwe. Tutabadili katiba kwa dharura
 
Alisema maghu akiingia madarakani atalala usingizi lakini, kwa sasa naona ni mtu wa kulala macho kama mlinzi maana anaona maghu anaweza kumvua nguo muda wowote
Yaani umeongea point sana
 
Kunawakati unahisikuomba MUNGU achukue rohozao TU usahau kuwaona majina yao jf
 
uuzwaji wa Shirika la UDA na fedha zake kuwekwa kwenye Akaunti ya mtu binafsi Bw. Idd Simba kitendo ambacho ni kosa
Haueleweki. Kwani kampuni ya umma ikiuzwa mlitegemea fedha zipelekwe kwenye akaunti ya nani, ya serikali?
 
Naamini mheshimiwa raisi. John pombe magufuli ataliangalia kwa undani zaidi hili swala la uda. Ninawasiwasi hata mikataba Hamna au imechomwa moto. Wakiacha link tutaingia mpaka makabulini kutafuta details.
 
Hata mimi siwezi kumlaumu Jk pekee, kuna mijizi mingi Nchi hii, Jk pamoja na kuwa dhaifu ila alikuwa MTU wa watu. Huyu ni mapema sana kumsifu, mwezi wa saba ukipita ndio sura halisi ya Magufuli tutaiona.
Mtu wa watu ndio sifa nzuri ya kiongozi unayoijua wewe au lile tabasamu la masaa 24/7 ndo lilikuchanganya?
 
Ni dhahiri hawa watendaji wakuu wa Serikali Awamu ya 4 walikuwa wanayashangaa maamuzi ya Serikali.

Hayo yamethibitisha na alikuwa CAG mstaafu Mzee Utouh alipohojiwa jana na kuonekana kwenye magazeti ya Leo kuwa kati ya mambo ambayo yalimshangaza na kufanywa na viongozi wa Serikali ya Mh. Kikwete ni pamoja na suala la uuzwaji wa Shirika la UDA na fedha zake kuwekwa kwenye Akaunti ya mtu binafsi Bw. Idd Simba kitendo ambacho ni kosa na kushtakiwa katika Mahakama ya Kisutu lakini katika hali ya kushangaza na kulindana kesi hiyo ilifutwa na ndicho kinachomshangaza CAG Mstaafu.

UDA in Mali ya Umma tunamwomba Mh. Rais Magufuli apitie ripoti ya CAG ya Uuzwaji wa UDA ayaone madudu. Pia naiomba PCCB ipitie upya mchakato wa uuzwaji wa UDA ijionee jinsi watu wachache walivyolila Shirima la UDA Na fedha kuwekewa kwenye akaunti zao binafsi.

Utoh ndiye aliyekuwa anachunguza hiyo kesi? Au alitaka kile kilichosemwa na upande mmoja ni lazima kiwe kweli na Mzee Simba ahukumiwe bila utetezi? Mambo mengine si ya kulazimisha. Suala la UDA, ID Simba na Simon Group haliko kama mnavyoliona kwa sura ya mitandaoni. Labda tu serikali iamue kufanya kama ilivyofanya kwa Wenje!.
 
Kuna watu humu ndani kz yao ni kumtukana tu jk,hv kiukweli kbs,yaani kiroho safi jk hana mazuri completely ktk jamhuri hii ya muungano wa Tz?
mie ninaamini jk kafanya makubwa ya maana kuliko rais yyt yule ktk nchi hii ktk sekta zote za uchumi,jamii,kisiasa etc
Ikumbukwe pia jk ni binadamu km tulivyo sisi,kila mmoja ana mapungufu yk km binadamu,no body is perfect,tusilaumu tu na kutukana,tuangalie pia ufisadi na wizi ulikuwa kwa kikwete tu?wizi ulianza sk nyingi sana,watu wamekwiba vya kutosha,si ccm wala cdm wengi wetu ni wezi,wengi hatuna uzalendo na wala hakuna msafi nchi hii,yyt yule ktk sisi hata ikitokea amepata nafasi ktk nchi hii atajiangalia yy kwanza na familia yk,ndivyo tulivyo na huo ndo ukweli

Kwa mtizamo wa aina hii tuchukulie kuwa Magufuli anatupiga changa la macho kujidai ni mzalendo kweli kweli anayetumbua majipu ya waliomtangulia ?
 
Watamuua kwa presha mzee wa msoga nadhani anajuta kweli heri angemuachia Lowasa
It is likely to be true.

Hasa ukizingatia Boyz2Men hao hawajukatana barabarani.

Hi heri zimwi likujualo kuliko lile ambalo halikufahamu kabisa.....
 
Kuna watu humu ndani kz yao ni kumtukana tu jk,hv kiukweli kbs,yaani kiroho safi jk hana mazuri completely ktk jamhuri hii ya muungano wa Tz?
mie ninaamini jk kafanya makubwa ya maana kuliko rais yyt yule ktk nchi hii ktk sekta zote za uchumi,jamii,kisiasa etc
Ikumbukwe pia jk ni binadamu km tulivyo sisi,kila mmoja ana mapungufu yk km binadamu,no body is perfect,tusilaumu tu na kutukana,tuangalie pia ufisadi na wizi ulikuwa kwa kikwete tu?wizi ulianza sk nyingi sana,watu wamekwiba vya kutosha,si ccm wala cdm wengi wetu ni wezi,wengi hatuna uzalendo na wala hakuna msafi nchi hii,yyt yule ktk sisi hata ikitokea amepata nafasi ktk nchi hii atajiangalia yy kwanza na familia yk,ndivyo tulivyo na huo ndo ukweli
Sometimes nahisi kuwa ni kweli kuna watu wanatumia kichwa kufugia nywele hivi kweli kwa mtu mwenye akili timamu unasema JK amefany vizuri kuliko marais wote kisiasa na kijamii kumshinda Nyerere aloipigania nchi kuiletea uhuru na kutuunganisha watanzania wote pasipo kujali tofauti zetu? Japo JK kafanya vzr kidiplomasia lkn huwez kumlinganisha na Nyerere ambaye alitufanya tuheshimike mpaka na mataifa makubwa. Pia kusema kwamba watu wote ni wezi ni kukoswa maarifa kwa sababu tunawajua baadhi ya watu waliolitumikia taifa hili kwa uadilifu wakitanguliza manufaa ya nchi mbele na wala hawakujineemesha kwa chochote mfano Mwl JK Nyerere, Mzee Nnauye, Mzee Kiaro, Mzee SAS n.k sometimes ni busara zaid kabla hujaongea kufanya utafiti kidogo
 
Nini wewe? Wanamtukana JK humu? Yaani heri wengine waachwe lakini JK siombi hata siku moja aachwe, yeye aombe tu kwamba Mungu hachukui rushwa akili yangu ilivyovurugwa na haya madudu yanayoibuliwa na mchunga ng'ombe, mlima pamba ngosha wa Chato ningeishamshawishi Mungu kwa kitu kidogo amwingizie wazo amkamate huyo JK wenu apelekwe gereza la Maweni kwanza akapate akili.

Yaani madudu ambayo nilimkuta hata mzee Matonya anayazungumzia anamlaani JK pale maskani anapoombea, leo tumtetee eti JK mtoto wa mjini hakuwa anajua tunaibiwa kweli?

Heri ya awamu ya Mkapa, yeye tulimlaumu alifanya biashara akiwa ikulu, awamu ya JK mlungula ukibebwa mpaka na wahindi kupelekwa ikulu? majizi yakinyang'anyana mabilioni ya kodi zetu benki ya Stanbic halafu Kikwete, Rais mzima anakusanya mababu na mabibi wa mkoa wa Dsm anatudanganya eti ile haikuwa pesa yetu ilikuwa ya wale majizi, leo hii kweli mnamtetea? Haki ya Mungu kumbe nchi hii imeoza yote pamoja na vilivyomo.

Hivi hamjui wote hao wanaokamatwa na kutumbuliwa majipu chanzo chake ama ni yeye ama naye ni mshirika.
Subirini mwone Kikwete atadakwa tu, siku zake zinahesabika labda Rais wa nchi hii ni Membe na si Magufuli.

Kwa mawazo yangu safari hii JK akirudi naomba asiruhusiwe kutoka tena, atakuja atuponyoke aombe ukimbizi huko anakoshinda.
...i wish!
 
Lowassa unamsingizia lowassa Na kikwete walitengana miaka zaidi ya 8 katika utawala wa kikwete watanzania tuwe wakweli
 
Nakumbuka kauli ya Adam Malima pale bungeni kwa macomfidensi ya hali ya juu "UDA bado ni Shirika la Umma", nyuma ya pazia anafahamu ukweli nini kilichokuwa kinaendela
Hivi tuna uwezo wa kulirudisha kwa u moja wetu ?
 
Back
Top Bottom