CAG mstaafu ashangaa kesi ya Idd Simba ya fedha za UDA kufutwa

CAG mstaafu ashangaa kesi ya Idd Simba ya fedha za UDA kufutwa

AIWEZEKANI KILA SEHEMU KUKAWA KUNALIWA KIKENGE NCHI KAMA AIKUWA NA RAIS HUU UPUUZI UFIKE MWISHO MH RAISI MAGUFULI KUSAIDIA HILI DK WETU

TUNAOMBA FUFUA UPYA KESI YA UUZWAJI WA UDA KESI YA PESA ZA IDA KWENSA ACC YA I.S KAMA NANI WANANCHI WAELEWE ATUTAKI KUPEPESWA MACHO NCHI KAMA JALALA

NENDA NSSF WATA WANAPIGA MABILLIONS

JESHINI MABILLIONS

HAPO ATUJAINGIA PPF PPRA SSRA HUKO SIJUI KUKOJE NHIF MH RAIS USIPEPESE MACHO WATU WARUDISHE PESA ZETU WAENDE JELA

TUFIKE WAKATI NCHI IHESHIMIKE UJINGA WA KUPIGA UFEE


rais anatakiwa asiwe mbaguzi ktk kutenda haki...
 
Woote Ni Hao Ni Wale Wale Tu, Nyani Na Ngedere Hakuna Jipya!!
 
Ni dhahiri hawa watendaji wakuu wa Serikali Awamu ya 4 walikuwa wanayashangaa maamuzi ya Serikali.

Hayo yamethibitisha na alikuwa CAG mstaafu Mzee Utouh alipohojiwa jana na kuonekana kwenye magazeti ya Leo kuwa kati ya mambo ambayo yalimshangaza na kufanywa na viongozi wa Serikali ya Mh. Kikwete ni pamoja na suala la uuzwaji wa Shirika la UDA na fedha zake kuwekwa kwenye Akaunti ya mtu binafsi Bw. Idd Simba kitendo ambacho ni kosa na kushtakiwa katika Mahakama ya Kisutu lakini katika hali ya kushangaza na kulindana kesi hiyo ilifutwa na ndicho kinachomshangaza CAG Mstaafu.

UDA in Mali ya Umma tunamwomba Mh. Rais Magufuli apitie ripoti ya CAG ya Uuzwaji wa UDA ayaone madudu. Pia naiomba PCCB ipitie upya mchakato wa uuzwaji wa UDA ijionee jinsi watu wachache walivyolila Shirima la UDA Na fedha kuwekewa kwenye akaunti zao binafsi.
Mimi JPM akiifufua kesi hii naya TEGETA ESCROW mniletee kadi ya CCM mlangoni kwangu.
 
Duuuh, mzee wa msoga analala usingizi kweli?
Jasiri haachi asili. Alisema kwasababu JPJM yoko magogoni hana sababu ya kukosa usingizi. Hata hivyo ukweli ni kwamba si rahisi kwake kupata usingizi wakati mauchafu aliyofanya kwa makusudi yakiibuliwa kila uchao. Tumuombee JK kheri na maaisha maarefu ili aishi kuona jinsi nchi inavyosafishwa wakati yeye akiendelea kula bata nchini na kungineko duniani.
 
Duuuh, mzee wa msoga analala usingizi kweli?
Jasiri haachi asili. Alisema kwasababu JPJM yuko Magogoni hana sababu ya kukosa usingizi. Hata hivyo ukweli ni kwamba si rahisi kwake kupata usingizi wakati mauchafu aliyofanya kwa makusudi yakiibuliwa kila uchao na huyo JPJM na askari wake, watumbuaji wa majipu. Tumuombee JK kheri na maaisha maarefu ili aishi kuona jinsi nchi inavyosafishwa wakati yeye akiendelea kula bata nchini na kungineko duniani; huku akiendelea kupalilia njia yake ili kuukwaa ukatibu mkuu umoja wa mataifa.
 
Watamuua kwa presha mzee wa msoga nadhani anajuta kweli heri angemuachia Lowasa
Niliwahi katika michango yangu ya nyuma kushauri mamlaka ya uungumtu aliyopewa DPP yafutiliwe mbali.Haiwezekani mtu mmoja awe na madaraka mazito kuliko hata raisi wa nchi.Eti kesi yoyote kabla ya kwenda mahakamani lazima ipitie kwake na ana uwezo wa kuipeleka au kuitupilia mbali na bila kuhojiwa na yeyote hata ingehusu ukwapuaji wa mabilioni ya wananchi.Hata zilizopo mahakamani ana uwezo wa kuifuta na atakaepiga kelele ataambiwa tumeona ushahidi uliopo serikali isingeshinda kesi.Zipo nyingi ambazo ushahidi wake ulikuwa wazi kabisa na mashahidi kuwepo ila zikatupwa. Huu ulikuwa mkakati wa awamu zilizopita kusafishia wateule wao kwa kulea rushwa kubwa kubwa.Haiingii akilini wanasheria waliobobea waliopo polisi na takukuru na waliosoma kozi hiyo hiyo ya dpp wanyimwe fursa ya kupeleka na kusimamia mashtaka mahakamani.Naomba raisi sasa angalia mifumo iliyopo na anza na hili.Uttoh badala ya kushangaa ungeonekana wa maana zaidi kama ungetoa na pendekezo maana ulikuwepo na umeyaacha haya yakiendelea.
 
Mambo ya mafisadi wa MACCM kukingiana kifua huku wakiendelea kuiangamiza Tanzania.
 
Ni dhahiri hawa watendaji wakuu wa Serikali Awamu ya 4 walikuwa wanayashangaa maamuzi ya Serikali.
UDA in Mali ya Umma tunamwomba Mh. Rais Magufuli apitie ripoti ya CAG ya Uuzwaji wa UDA ayaone madudu. Pia naiomba PCCB ipitie upya mchakato wa uuzwaji wa UDA ijionee jinsi watu wachache walivyolila Shirima la UDA Na fedha kuwekewa kwenye akaunti zao binafsi.

Makaburi mengine ukiyafukua utashindwa kuyafukia
 
Back
Top Bottom