mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Ni dhahiri hawa watendaji wakuu wa Serikali Awamu ya 4 walikuwa wanayashangaa maamuzi ya Serikali.
Hayo yamethibitisha na alikuwa CAG mstaafu Mzee Utouh alipohojiwa jana na kuonekana kwenye magazeti ya Leo kuwa kati ya mambo ambayo yalimshangaza na kufanywa na viongozi wa Serikali ya Mh. Kikwete ni pamoja na suala la uuzwaji wa Shirika la UDA na fedha zake kuwekwa kwenye Akaunti ya mtu binafsi Bw. Idd Simba kitendo ambacho ni kosa na kushtakiwa katika Mahakama ya Kisutu lakini katika hali ya kushangaza na kulindana kesi hiyo ilifutwa na ndicho kinachomshangaza CAG Mstaafu.
UDA in Mali ya Umma tunamwomba Mh. Rais Magufuli apitie ripoti ya CAG ya Uuzwaji wa UDA ayaone madudu. Pia naiomba PCCB ipitie upya mchakato wa uuzwaji wa UDA ijionee jinsi watu wachache walivyolila Shirima la UDA Na fedha kuwekewa kwenye akaunti zao binafsi.