Kuna watu humu ndani kz yao ni kumtukana tu jk,hv kiukweli kbs,yaani kiroho safi jk hana mazuri completely ktk jamhuri hii ya muungano wa Tz?
mie ninaamini jk kafanya makubwa ya maana kuliko rais yyt yule ktk nchi hii ktk sekta zote za uchumi,jamii,kisiasa etc
Ikumbukwe pia jk ni binadamu km tulivyo sisi,kila mmoja ana mapungufu yk km binadamu,no body is perfect,tusilaumu tu na kutukana,tuangalie pia ufisadi na wizi ulikuwa kwa kikwete tu?wizi ulianza sk nyingi sana,watu wamekwiba vya kutosha,si ccm wala cdm wengi wetu ni wezi,wengi hatuna uzalendo na wala hakuna msafi nchi hii,yyt yule ktk sisi hata ikitokea amepata nafasi ktk nchi hii atajiangalia yy kwanza na familia yk,ndivyo tulivyo na huo ndo ukweli