CAG mstaafu ashangaa kesi ya Idd Simba ya fedha za UDA kufutwa

CAG mstaafu ashangaa kesi ya Idd Simba ya fedha za UDA kufutwa

Nakumbuka kauli ya Adam Malima pale bungeni kwa macomfidensi ya hali ya juu "UDA bado ni Shirika la Umma", nyuma ya pazia anafahamu ukweli nini kilichokuwa kinaendela
 
Nakumbuka kauli ya Adam Malima pale bungeni kwa macomfidensi ya hali ya juu "UDA bado ni Shirika la Umma"
Malima alikuwa anasema ukweli..UDA bado ni shirka la umma..
“Dar es Salaam City Council has 51 percent of shares in UDA while the government has 49 percent.”

UDA
 
Malima alikuwa anasema ukweli..UDA bado ni shirka la umma..
“Dar es Salaam City Council has 51 percent of shares in UDA while the government has 49 percent.”

Home
Mbona mara tunasikia mmiliki ni Robert Kisena?
 
Kuna mdau alishauri, tufute kwenye awamu za uongozi kwamba hatukuwahi kuwa na rais awamu ya nne.
Haitasaidia .Tukifuta tutapoteza historia ya uharifu mkubwa uliotokea katka Taifa,japo awamu zote zina kasoro zake..Hii ilizidi
 
Kwani Kikwete ndiyo hakimu au mwendesha mashtaka?
Naona Hujachelewa.... kumtetea.... Hadi Lini.... wengi walimtetea hadi wameshachoka umebakia wewe Mama wa Shoka....
 
Amerudi Rwanda nakwambia watuwanahama nchii mtaniambia
 
AIWEZEKANI KILA SEHEMU KUKAWA KUNALIWA KIKENGE NCHI KAMA AIKUWA NA RAIS HUU UPUUZI UFIKE MWISHO MH RAISI MAGUFULI KUSAIDIA HILI DK WETU

TUNAOMBA FUFUA UPYA KESI YA UUZWAJI WA UDA KESI YA PESA ZA IDA KWENSA ACC YA I.S KAMA NANI WANANCHI WAELEWE ATUTAKI KUPEPESWA MACHO NCHI KAMA JALALA

NENDA NSSF WATA WANAPIGA MABILLIONS

JESHINI MABILLIONS

HAPO ATUJAINGIA PPF PPRA SSRA HUKO SIJUI KUKOJE NHIF MH RAIS USIPEPESE MACHO WATU WARUDISHE PESA ZETU WAENDE JELA

TUFIKE WAKATI NCHI IHESHIMIKE UJINGA WA KUPIGA UFEE
 
Kuna watu humu ndani kz yao ni kumtukana tu jk,hv kiukweli kbs,yaani kiroho safi jk hana mazuri completely ktk jamhuri hii ya muungano wa Tz?
mie ninaamini jk kafanya makubwa ya maana kuliko rais yyt yule ktk nchi hii ktk sekta zote za uchumi,jamii,kisiasa etc
Ikumbukwe pia jk ni binadamu km tulivyo sisi,kila mmoja ana mapungufu yk km binadamu,no body is perfect,tusilaumu tu na kutukana,tuangalie pia ufisadi na wizi ulikuwa kwa kikwete tu?wizi ulianza sk nyingi sana,watu wamekwiba vya kutosha,si ccm wala cdm wengi wetu ni wezi,wengi hatuna uzalendo na wala hakuna msafi nchi hii,yyt yule ktk sisi hata ikitokea amepata nafasi ktk nchi hii atajiangalia yy kwanza na familia yk,ndivyo tulivyo na huo ndo ukweli
Nini wewe? Wanamtukana JK humu? Yaani heri wengine waachwe lakini JK siombi hata siku moja aachwe, yeye aombe tu kwamba Mungu hachukui rushwa akili yangu ilivyovurugwa na haya madudu yanayoibuliwa na mchunga ng'ombe, mlima pamba ngosha wa Chato ningeishamshawishi Mungu kwa kitu kidogo amwingizie wazo amkamate huyo JK wenu apelekwe gereza la Maweni kwanza akapate akili.

Yaani madudu ambayo nilimkuta hata mzee Matonya anayazungumzia anamlaani JK pale maskani anapoombea, leo tumtetee eti JK mtoto wa mjini hakuwa anajua tunaibiwa kweli?

Heri ya awamu ya Mkapa, yeye tulimlaumu alifanya biashara akiwa ikulu, awamu ya JK mlungula ukibebwa mpaka na wahindi kupelekwa ikulu? majizi yakinyang'anyana mabilioni ya kodi zetu benki ya Stanbic halafu Kikwete, Rais mzima anakusanya mababu na mabibi wa mkoa wa Dsm anatudanganya eti ile haikuwa pesa yetu ilikuwa ya wale majizi, leo hii kweli mnamtetea? Haki ya Mungu kumbe nchi hii imeoza yote pamoja na vilivyomo.

Hivi hamjui wote hao wanaokamatwa na kutumbuliwa majipu chanzo chake ama ni yeye ama naye ni mshirika.
Subirini mwone Kikwete atadakwa tu, siku zake zinahesabika labda Rais wa nchi hii ni Membe na si Magufuli.

Kwa mawazo yangu safari hii JK akirudi naomba asiruhusiwe kutoka tena, atakuja atuponyoke aombe ukimbizi huko anakoshinda.
 
Pole mkuu! Naamini hapana jiwe litasalia juu ya jiwe. Kasema amejitoa sadaka. Ila anaenda hatua kwa hatua. Tumwombee tuu
 
Mtoto wa Kiume hawezi kusikia kichefu chefu kuona Mwanamume Mwenzie hata awe anamchukia Kiwango gani? hizo lugha za kichoko choko uwe unatupia kwny Magroup ya Ma chokostick wenzio. Eti kichef chef ...Mammae!!

Mkuu siku hizi MCHICHA MWIBA wapo wengi. Dada ajisikie kichefuchefu na yeye pia hahah
 
K
Nini wewe? Wanamtukana JK humu? Yaani heri wengine waachwe lakini JK siombi hata siku moja aachwe, yeye aombe tu kwamba Mungu hachukui rushwa akili yangu ilivyovurugwa na haya madudu yanayoibuliwa na mchunga ng'ombe, mlima pamba ngosha wa Chato ningeishamshawishi Mungu kwa kitu kidogo amwingizie wazo amkamate huyo JK wenu apelekwe gereza la Maweni kwanza akapate akili.

Yaani madudu ambayo nilimkuta hata mzee Matonya anayazungumzia anamlaani JK pale maskani anapoombea, leo tumtetee eti JK mtoto wa mjini hakuwa anajua tunaibiwa kweli?

Heri ya awamu ya Mkapa, yeye alifanya biashara akiwa ikulu, awmu ya JK mlungula ukibebwa kupelekwa ikulu? majizi yananyang'anyana mabilioni ya kodi zetu benki ya Stanbic Kikwete anasema hiyo siyo pesa yetu eti ni hao majizi, leo mnamtetea? Haki ya Mungu kumbe nchi hii imeoza yote pamoja na vilivyomo.

Hivi hamjui wote hao wanaokamatwa na kutumbuliwa majipu chanzo chake ni Kikwete?
Subirini mwone Kikwete atadakwa tu, siku zake zinahesabika.

Kwa mawazo yangu safari hii akirudi hataruhusiwa kutoka tena JPM si mchezo wewe Taffman.
Kama sio la Maweni apelekwe lile la Butimba.
 
Hata mimi siwezi kumlaumu Jk pekee, kuna mijizi mingi Nchi hii, Jk pamoja na kuwa dhaifu ila alikuwa MTU wa watu. Huyu ni mapema sana kumsifu, mwezi wa saba ukipita ndio sura halisi ya Magufuli tutaiona.
Kikwete na Lowassa sitawasamehe kwa hapa walipotufikisha.
 
Kuna watu humu ndani kz yao ni kumtukana tu jk,hv kiukweli kbs,yaani kiroho safi jk hana mazuri completely ktk jamhuri hii ya muungano wa Tz?
mie ninaamini jk kafanya makubwa ya maana kuliko rais yyt yule ktk nchi hii ktk sekta zote za uchumi,jamii,kisiasa etc
Ikumbukwe pia jk ni binadamu km tulivyo sisi,kila mmoja ana mapungufu yk km binadamu,no body is perfect,tusilaumu tu na kutukana,tuangalie pia ufisadi na wizi ulikuwa kwa kikwete tu?wizi ulianza sk nyingi sana,watu wamekwiba vya kutosha,si ccm wala cdm wengi wetu ni wezi,wengi hatuna uzalendo na wala hakuna msafi nchi hii,yyt yule ktk sisi hata ikitokea amepata nafasi ktk nchi hii atajiangalia yy kwanza na familia yk,ndivyo tulivyo na huo ndo ukweli
Me nakataa kikwete hana zuri hata moja alilotufanyia
 
Nalisubiri jipu la NHC, maana lipo sehemu mbaya kwenye moyo sijui watalitumbua vipi!
Go Magu gooooo!
 
Back
Top Bottom