OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,037
- 114,483
Zuma ana hali mbaya.CAG wa South Afrika amemvua nguo kwamba alitumia pesa za serikali kujijengea hekalu babu kubwa.Je,CAG wa Tanzania Prof.Musa Asad anaweza kupitia upya mchakato wa uuzwaji wa nyumba za serikali zoezi ambalo Magufuli alikuwa waziri?Je,ikithibitishwa Magufuli ataweza kujitumbua?Kuna Mv Dsm pia inasemekana ni bomu