CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

Wewe ndiyo unaleta siasa. Ni lini na wapi ambapo CAG Kichere alitutangazia kuwa ametishiwa kifo na ameongezewa ulinzi? Habari inaweza kuwa ya kweli, kakini imeletwa na mwingine, wewe unamlaumu Kichere
Umbea wa magazetini, duh!
 
Anatafuta kiki sio?

Tundu Lissu alisema ametishiwa maisha mara ngapi na nini kikajiri!!?

Kweli nyie vizazi vya shetani ni misukule.
 
Mbona hamkusema haya wakati mwenda zake hata alipokuwa kanisani alitangazwa na kuoneshwa kapiga magoti.
Kwani kumwabudu mungu no tendo la ajabu au la kiserikali?
 
Hstari bwashee!

Mbona ile report ni ya kawaida sana ni nani anamtisha?
Wanaomtishia ni Sukuma Gang from Chato ambao hawataki kusikia report ya CAG iliyoibua UOZA WA KUTISHA NDANI YA SERIKALI YA Hayati JIWE!

Nakuhakikishia kuwa kama Magufuli angelikuwa hai hii report ya CAG isingesomeka kama ilivo hivi leo!

John Pombe Joseph Magufuli(RIP) wasn't an angel as CCM followers are trying to fool people!
 
Mbona hamkusema haya wakati mwenda zake hata alipokuwa kanisani alitangazwa na kuoneshwa kapiga magoti.
Kwani kumwabudu mungu no tendo la ajabu au la kiserikali?
Shujaa amelala usingizi wa umauti lakini anakupeleka kasi bado

Hahaha yaani bado unaweweseka..... kiboko yako

Na bado anaishi na ataendelea kuishi

Kazi inaendelea
 
Amefanya ya ukatili, wizi, ukabila, unyang'anyi, umbea umbea, udikteta, ni kweli haji sahaulika
 
Kwani CAG siyo Sukuma mob?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…