Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,829
- 6,376
Umbea wa magazetini, duh!Wewe ndiyo unaleta siasa. Ni lini na wapi ambapo CAG Kichere alitutangazia kuwa ametishiwa kifo na ameongezewa ulinzi? Habari inaweza kuwa ya kweli, kakini imeletwa na mwingine, wewe unamlaumu Kichere