CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

Wacha kupotezea mada wewe mjinga uliyetumwa na Ndugai, mlificha madudu yenu mliofanya hadi kuhamishia ATCL Ofisi ya Meko Ili isikaguliwe, Mkamtengenezea Zengwe hadi Asaad akatemwa kazi.

Sasa trip hii mambo mezani mmetuibia watanzania sana mkijidai mnatetea wanyonge kumbe ndio mnawanyonya

CAG huyu mpya ameambiwa na Mama aweke mambo mezani mmeumbuka

Eti " HAPA KAZI TU" kazi ya kututia hasara na kupora watu pesa kwenye Ma-bank

Nyoooooo ....Nawachukia Mimi nyie laiti mngejua!
 
Hawa kina kichere ndio wanasababisha Degree, Masters, PhD, CPA na ACCA zetu zinaambiwa hazina maana

Kutishiwa kunaweza kuwepo au kusiwepo ila huku kuja kuja kutangaza kwenye magazeti na mitandaoni ni kutafuta kiki tuu kama kina vanny boy...
Nyie ndio majizi yenyewe mnaomtishia
 
Hstari bwashee!

Mbona ile report ni ya kawaida sana ni nani anamtisha?
Kama kuna raia kafanya hivyo anakosea sana. Riport yenyewe bado inamaswali mengi sana ya kujiuliza. Mfano taarifa ya bwawa la umeme kabezwa na wataalamu wabobezi aibu. Mashirika mengine yanaendelea kutoa mabezo kwa CAG. Watu watulie na kuisoma vizuri waache upotoshwaji.
 
Una akili sana mkuu

Akhsante sana Ndugu, ila ashukuriwe sana Mwenyezi Mungu kwa Kunibariki na hizi Akili nyingi ulizoziona na kuzitambua Kwangu, Wazazi wangu kwa Malezi yao bora yaliyonijenga vyema Kiakili na Kimaarifa, Walimu na Wahadhiri wangu wote na hasa hasa Mtandao huu wa JamiiForums hasa kupitia Kwenu nyie 'Members' wote hapa kwani nanyi pia ni 'Geniuses' zaidi yangu na tunavyojadiliana hapa Kutwa huwa mnanijenga zaidi na Kuninoa mno Kimaarifa na Kiakili.
 
Amina Mungu ni mkubwa
 
Walidhani wanaua upinzani kumbe wanatengeneza upinzani ndani ya chama chao...CCM imegawanyika sasa hivi...kuwa watawala na wapinzani
Auto & Self destruction due to multiple irregularities.Wasema kweli wanapokuwa hatarini kwa kunena ukweli.
 
Wote tutakufa. Ni vizuri mtu au taasisi iliyomtishia kifo itajwe.
 
Hawa kina kichere ndio wanasababisha Degree, Masters, PhD, CPA na ACCA zetu zinaambiwa hazina maana

Kutishiwa kunaweza kuwepo au kusiwepo ila huku kuja kuja kutangaza kwenye magazeti na mitandaoni ni kutafuta kiki tuu kama kina vanny boy...
Anatafuta Kiki tu huyu
 
Back
Top Bottom