Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,327
- 24,209
Huyu huyu CAG Kichere alikuwa Commisioner General TRA. Haya madudu tunayoyaona vile vile anahusika nayo.
Hawezi leo kuwa benchmark ya ukweli.
(NB alikuwa mhasibu TANROADS)
- Ubambikaji kodi
- Kunyang'anya fedha za wafanya biashara benki.
- Kufungia biashara.
Hawezi leo kuwa benchmark ya ukweli.
(NB alikuwa mhasibu TANROADS)