Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,075
Huyo ni bibi ajuza sio dadaDada Faiza hakuna jipya kwenye wizi tumefika huku.
Huyo ni bibi ajuza sio dadaDada Faiza hakuna jipya kwenye wizi tumefika huku.
Funga bakuli Dau ni fisadiHii nyimbo ili flop, ma dj wanalazimisha ichezwe tu.
Hakuna jipya.
Bado ebu tufungueKatika maisha yako ushawahi kusikia neno "financial au economic shock?
Sio kwa wizi huu aisee...huyu Dau ni wa kufungwa na kutaifishwa kbs..China wangemnyongelea mbaliInalazimishwa kwelikweli. Kuna mtu anaficha udhaifu wake huko shirikani si bure. Dau tushampima kwa ubunifu wa kuliendesha shirika kwa mafanikio na kulifanya liwe shirika namba moja miongoni mwa nchi za mashariki mwa Afrika. Waache ngonjera wapige kazi.
Dau pamoja na elimu yake ni either mbumbumbu sana au mwizi sana haiwezekani asiwe na mojawapo ya hizo sifa 2 hapo juu...SI KUNA MIUNGU WATU HAPA DUNIANI...
OVA
Naona bitishomvi povu linakutoka na jasho chini linakumwaika kumtetea fisadi Dau kwa kivuli cha udiniWewe hauelewi kitu kuhusu real estate investments na ni punguani kama mleta mada.
Una nini unachokijuwa kuhusu mega real estate development investment?
Hii nyimbo=huu wimbo???Hii nyimbo ili flop, ma dj wanalazimisha ichezwe tu.
Hakuna jipya.
Kweli kabisa....lkn Ukiona Dau haguswi ujue amekula na mabosi zake.....Dau pamoja na elimu yake ni either mbumbumbu sana au mwizi sana haiwezekani asiwe na mojawapo ya hizo sifa 2 hapo juu...
Watu type hii ya Dau unawafunga jiwe kubwa na unamtumbukiza nalo baharini au ziwaniSio kwa wizi huu aisee...huyu Dau ni wa kufungwa na kutaifishwa kbs..China wangemnyongelea mbali
Kama hajajilipua kupata hifadhi maana hii ni vitaDau arudi upesi kujibu
Cc faiza foxyAcha kutuchanganya -:
Bei ya ardhi eka mmoja sh.25 millioni actual price.
Thamani ya ardhi eka mmoja sh 800 million aliyobanbikiwa NSSF kutoka kwa mbia wake
Hasara ya makusudi alioipata NSSF kwa eka mmoja ni sh. 775 million
Eka za mradi kwa bei ya sh millioni 800 zilitakiwa kuwa eka 20,000
Ardhi halisi ya mradi ni eka 3,503 tu.
Ardhi hewa ni eka 16,487
Umiliki wa mradi NSSF 45% Mbia Azimio 55%
Pesa alizotoa NSSF sh 270 billioni na zaidi
Mbia amekopa NSSF na anataka kukopa tena eti ndio awekeze kwenye mtaji
Kulikuwa na haja gani ya kumtafuta mbia mfu,wakati NSSF mwenyewe ana nguvu ya kifedha kujisimamia?
Huu mradi una U TRUMP mtupu ndani yake,labda ndio kisa cha mbia kuwakilishwa na mawakili 8.
Dau unamjulia magazetini wewe. Siku utakayomjua kiuhalisia utajutia sana haya maneno yako. Mkuu wa kaya alikuwa na mawazo kama hayo, baada ya kulielewa somo mwenyewe unajua kilichotokea.Sio kwa wizi huu aisee...huyu Dau ni wa kufungwa na kutaifishwa kbs..China wangemnyongelea mbali
Kila Mara nasema atafungwa Ritz na Abbas na mohamed wananyanyua vimidomo sasa na wasubiri
Dau arudi upesi kujibu