CAG ashitukia ulaji mil.775/- kila heka NSSF

Inatia hasira sana hela zetu zinafujwa bila huruma,two weeks ago Nssf wametoa tangazo LA majengo yaliyo vacant yaani ni aibu,75% ya majengo hayana wapangaji na mategemeo kupata wapangaji hasa kwa usawa huu ni majaliwa,hebu fikiria ni kiasi gani cha pesa zilitumika kuyajenga,hii inaonyesha walioliongoza hili shirika walitumia elimu akhera maana huwezi kuwekeza ukiwa timamu bila kufanya study kujua uhitaji wa watu eneo husika,halafu mijingajinga unakuja humu kumtetea mpuuzi mmoja aliyetaka kuliangamiza shirika,dadadeki
Katika maisha yako ushawahi kusikia neno "financial au economic shock?
 
Kama hukutajirika wakati wa Mr. Dhaifu aisee we nakuombea ufe masikini tu kwa sababu hakuna namna. Watu wanapiga milioni 775 kwa eka moja duh. Ndiyo hawa wanapambana usiku na mchana kuhakikisha kuwa JPM hafanikiwi huku wakishadadia vihoja na vikasoro vidogo vidogo. Washindwe na walegee ku***********e zao (Forgive my language. I am pissed!)
Kuna point una i miss hapa Chief.
Hawa jamaa waliopiga pesa ndefu sana hivi wapo kimya sanaa, yani mini nina mil 700 na eka zangu tatu then nipige makelele ya nini?
Haya madudu hutaona hatua yoyote kwa sababu waliofanya haya madudu wapo serikalini na ndio wanatuongoza.( bumbuli sakoz humjui ni nani?) sio hadi uende kwa mganga ili kujua ni nani huyu.
Sasa tabaka linaloumia ni la chini sana hii point hata Rais namshangaa sana anadhani wanaolalamika ni kina bumbuli saccos? Bumbuli saccos na hao waliopiga hio mipesa mmoja yupo Malaysia mwingine anaye kwenye kabinet yake. ( do i need to say more?)
Sasa tabaka linaloumia hata hayo mambo ya saccos walikuwa hawalijui wala kuwaza, wanafunzi waliokosa mikopo waliosoma arts kwa shida wametoswa mkopo wakilalamika wanaambiwa walikuwa wapigajina matusi juu. (Kama tusi lako hilo hapo juu)
You approaching the wrong person.
Imagine kuna saccon zimepewa mabilionna data zao hazipo. Ina maana watu wametembea na mpunga mrefu..
Last: hizi unadhani huyo bumbuli saccos atafanywa nini?
Hivi unadhani yule wa malaysia atafanywa nini?
Hakuna kitu bure kabisa hakuna kwanza ndio wataongezewa vyeo(refer Mrisho Gambo) .
Tena kamati imeongozw na mama Kaboyoka. Na inaenda kwa mnafki yule Tolu naibu wa kule mjengoni aliyepiga kura juzi za umeya hapa Kinondoni..

Tusionane mambumbumbu.. Watu tuna akili zetu.. Wapigaji hawaumii kama ni kujipanga wanajipanga pole pole na kimya kimya.
Saint Ivuga
 
Hii nyimbo ili flop, ma dj wanalazimisha ichezwe tu.

Hakuna jipya.
Inalazimishwa kwelikweli. Kuna mtu anaficha udhaifu wake huko shirikani si bure. Dau tushampima kwa ubunifu wa kuliendesha shirika kwa mafanikio na kulifanya liwe shirika namba moja miongoni mwa nchi za mashariki mwa Afrika. Waache ngonjera wapige kazi.
 
Kuna majengo ya NSSF Moshi (Kilimanjaro Commercial Complex) na Arusha (Mafao House & NSSF Kaloleni) yani miaka 2 ss na yamepangishika chini ya 50%!! Na hakuna dalili yatajaa.

Hilo la moshi ndo majanga kabisa. Kubwa kupita mahitaji ya sasa ya Moshi. NSSF walikua wanaenda kama wamekatwa kichwa.
11f59d9064447ca9c1814060d405e779.jpg

Picha jengo la Moshi kwa hisani ya skyscrapercity.com
Sasa nyie si ndio mioko huko; fanyeni marketing mpate wateja mnakuja kulia lia nini hapa?
 
Kuna majengo ya NSSF Moshi (Kilimanjaro Commercial Complex) na Arusha (Mafao House & NSSF Kaloleni) yani miaka 2 ss na yamepangishika chini ya 50%!! Na hakuna dalili yatajaa.

Hilo la moshi ndo majanga kabisa. Kubwa kupita mahitaji ya sasa ya Moshi. NSSF walikua wanaenda kama wamekatwa kichwa.
11f59d9064447ca9c1814060d405e779.jpg

Picha jengo la Moshi kwa hisani ya skyscrapercity.com

Kimahesabu ya wanaowekeza kwenye majengo, ukipata occupancy rate ya 50% kwa kodi uliyojipangia hiyo ni win win situation. 20% ni break even.

Kama uliyosema ni kweli basi wamefanya vizuri sana tena sana.
 
Hii nyimbo ili flop, ma dj wanalazimisha ichezwe tu.

Hakuna jipya.

inauma na kusumbua sana. watu wanafanya kazi na maamuzi kama vchaa. sasa utaendaje kuwekeza mamilioni ya watu kwenye mambo ya hasara kiasi hicho? hiyo hela itarudi lini? ona sasa wanakuja na maneno ya ovyo, eti, oh, hamna kujitoa mpaka uzeeke. kazi huna eti usubiri hela yako mpaka uzeeke.

yaani akili zao zote hizo pamoja mautafiti yaliyokubuhu walikuja na vitega uchumi hivyo kwa hela za watu?
 
Eti NSSF Wamenunua heka moja kwa milioni 700 na watu kweli wanakubali kichwakichwa,
sasa ukiambiwa nssf watoe hati ya hiyo ardhi waliyonunua sijui utasemaje,
na katika mauziano ya hiyo ardhi TRA walilkipwa bei gani kama kodi ya mapato kutoka kwa azimio
 
Ujinga tu achana nao. Kuna society moja imepata fursa nzuri sana ya kusoma lakini hao wasomi wenyewe ni viazi mpka aibu
 
inauma na kusumbua sana. watu wanafanya kazi na maamuzi kama vchaa. sasa utaendaje kuwekeza mamilioni ya watu kwenye mambo ya hasara kiasi hicho? hiyo hela itarudi lini? ona sasa wanakuja na maneno ya ovyo, eti, oh, hamna kujitoa mpaka uzeeke. kazi huna eti usubiri hela yako mpaka uzeeke.

yaani akili zao zote hizo pamoja mautafiti yaliyokubuhu walikuja na vitega uchumi hivyo kwa hela za watu?

Wewe hauelewi kitu kuhusu real estate investments na ni punguani kama mleta mada.

Una nini unachokijuwa kuhusu mega real estate development investment?
 
Dada Faiza hakuna jipya kwenye wizi tumefika huku.

Hakuna wizi wowote bali kuna uongo wa kupakazana tu, jisomee:

Land for Equity (Ardhi Kwa Hisa) na Mradi wa NSSF Dege Beach Kigamboni

Jana Magazeti mengi yameandika kuwa kuna ufisadi mkubwa kwenye miradi ya Shirika la Hifadhi ya Jamii(NSSF), Hasa Mradi wa Dege Beach Huko Kigamboni ambapo imeelezwa Kuwa Katika Kila Kiwanja Kimoja kati ya Viwanja 300 vilivyoko Katika hatua ya kwanza ya Mradi thamani ya Kiwanja imezidishwa Kwa zaidi ya Shilingi Milioni 775. Ikielezwa Kuwa thamani ya Kila Kiwanja Ni Shilingi Milioni 25 Tofauti na Milioni 800 ambazo NSSF imenunua Kwa Kila Kiwanja Kimoja Kwa Mujibu wa Mkataba kati yake Na Kampuni ya Azimio.

Taarifa Hizi ni za Uongo. Ukweli ni Kuwa NSSF haikununua Ardhi eneo la Dege Beach, Kigamboni Kwa thamani ya Milioni 800 Kwa Kiwanja, imepewa Ardhi Bure Ili iwekeze Kwa kuingia Ushirika wa Mradi Katika Ardhi ya Mtu Binafsi (Kampuni ya Azimio).

Aina hiyo ya Ushirika hujulikana Kwa wataalam wa Sekta ya Majengo (Real Estate) Kama Utaratibu wa "Land for Equity" (Yaani Ardhi Kwa Hisa). Ambapo Katika Makubaliano ya Mradi, Mbia Mmoja wa Mradi anatoa Ardhi Na Mbia mwengine anatoa Fedha za Uwekezaji. Na kisha Hisa za Mradi hugawanywa kulingana Na mtaji wa Kila Mmoja (Ardhi Kwa Mbia wa kwanza, Na Fedha Kwa Mbia mwengine).

Na hili si Jambo jipya nchini. Uchunguzi unathibitisha kuwa kilichofanywa na NSSF (Katika Mradi wa Dege Beach Kigamboni) ndicho kinachofanywa na taasisi mbalimbali nchini (wakiwemo NSSF wenyewe), katika Miradi mbalimbali ya Uwekezaji wa Ushirikiano kati sekta ya Majengo.

Baadhi ya mifano ya Miradi ya namna hiyo ni kama ifuatavyo:

• Miaka ya 90 Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) liliingia makubaliano na Shirika la Mafuta la Taifa (TPDC) kujenga Jengo la Mafuta House kwenye ardhi inayomilikiwa na NHC katika eneo ambalo sasa pamejengwa Jengo la Banjamin Mkapa Towers. Katika Ujenzi Huo NHC walipewa asilimia 25 ya thamani ya mradi kwa kutoa ardhi (Land for Equity) ambayo mwaka 1995 ilikuwa ni Shilingi bilioni 19 bilioni. Kwa mujibu wa mkataba huo thamani ya ardhi ile mwaka huo ilikuwa shs 4.75 bilioni.

Mwaka 1995 thamani ya ardhi katikati ya jiji la Dar es salaam ilikuwa ni shilingi 62,500 kwa kila mita ya mraba na kiwanja kile kina mita za mraba 6,221 sawa na ekari moja na nusu. Kwa kutumia mahesabu ya kawaida thamani ya ardhi ya NHC ingekuwa shilingi 388 milioni Na si hiyo 4.75 Bilioni ambayo inaonyesha bei kukuzwa Kwa nyongeza ya shilingi 4.35 bilioni.

• NSSF ni mfaidika wa Utaratibu wa "Land for Equity" Katika mradi Mpya wa Umeme Mkuranga. Mwaka 2014 NSSF ilinunua ardhi kwa thamani ya shilingi 100 milioni, ardhi hiyo ilikuwa Ni jumla ya ekari 100.

Mwaka 2015 Wawekezaji waliingia ubia na Shirika la NSSF Ili kujenga Mtambo wa Umeme Katika ardhi Husika. Mchango wa NSSF Katika Mradi Huo ulikuwa ni ardhi yake ya Ekari 100 ambayo iliinunua Kwa Shilingi Milioni 100 Tu Mwaka Mmoja nyuma. Lakini Katika Mkataba wa Mradi Huo NSSF imepata asilimia 10 ya thamani ya Mradi Mzima wa Uwekezaji ambayo ni Dola za Kimarekani 450 Milioni Sawa na zaidi ya Shilingi 900 Bilioni.

Katika Mradi huu wa Mkuranga NSSF ndani ya mwaka mmoja iliweza kupandisha thamani ya ardhi ile kutoka shilingi 100 milioni mpaka shilingi 90 Bilioni ambayo ni Asilimia 10 ya thamani ya Mradi Wote. Kama zingetumika Hesabu Za kawaida Tu thamani ya Uwekezaji wa NSSF kwenye Mradi Husika ilipaswa Kuwa Asilia 0.06 Tu Na Sio Asilimia 10 walizopewa.

• Mradi mwengine uliofuata Utaratibu wa "Land for Equity" (Ardhi Kwa Hisa) ni Taarifa Juu ya makubaliano kati ya NHC na PPF Katika Ujenzi wa Jengo la PPF Tower Mwanza, ambapo NHC walitoa ardhi na kupewa Aslimia 25 ya hisa za mradi husika. Mradi huo una thamani ya Shilingi bilioni 258, Lakini Ukubwa wa ardhi waliyotoa NHC ni Kiwanja cha ekari moja tu.

Kamwe huwezi kusikia ikisemwa kuwa PPF wamenunua Kiwanja Cha Ekari Moja Kwa thamani ya Shilingi Bilioni 64 Kwa Kuwa Ni Ushirika wa Pamoja.

• NSSF imejenga jengo RITA, eneo la Posta jirani Kabisa na Jengo la Klabu ya Billicanas Jijini Dar es salaam. Katika Mradi Huo RITA iliyojengewa Jengo Husika, Na Kwa Kutoa ardhi hiyo wamepata hisa Asilimia 25 ya thamani ya mradi mzima wa Jengo Hilo, ambayo ni hilingi Bilioni 198.

Lakini Ukubwa wa Kiwanja cha RITA ni nusu ekari tu. Kamwe huwezi kusikia NSSF wamenunua nusu ekari kwa Shilingi bilioni 49 Katika Mradi wa Jengo la RITA.

• Miradi mengine iliyofuata Utaratibu huu wa "Land for Equity"
* Mradi kati ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na Fida-Hussein Katika Jengo lililoko Maeneo ya Jirani Na Hospitali ya Ocean Road.
* Mradi wa Jengo la UVCCM eneo la Fire Jijini Dar es salaam.
* Mradi wa Jengo la Mwalimu Nyerere Foundation eneo la Posta.
* Mradi wa Jengo la UWT (Makao makuu ya Airtel) eneo la Morocco nk.

• Hitimisho:

NSSF iliingia ubia na kampuni ya Azimio Kwaajili ya Uendelezwaji wa Ardhi Katika Mradi wa Dege Beach Kule Kigamboni. Kampuni ya Azimio Kwa Kutoa Ardhi ya Mradi Husika ilipewa asilimia 20 ya thamani ya mradi wa Dege Eco Village.

Lakini Pia kwenye Mkataba wa Mradi Azimio wanapaswa Kutoa 35% ya Fedha za thamani ya Mradi, Hivyo kuwafanya wawe na 55% ya Mradi Husika Huku NSSF wakiwa na 45 ya Mradi Kwa Fedha watakazotoa.

La kushangaza this time wameenda kwenye kamati ya bunge juzi . CAG presented his report na amesema amewapa NSSF clean report and everything is ok.

NSSF wenyewe wanasema hapaana things are not ok. Past management imeharibu mambo.

Kamati ikaamua kuwa the report is ADOPTED na Mradi wa Dege uendelee. Management Ikae na the JV partner waangalie modalities za kuendelea na mradi.

Out of desperation Huyu Mkurugenzi mpya wa NSSF fed the reporters with all lies (Tariff za uwongo). Na maya zaidi hakuna gazeti hata moja ambalo lilifanya investigative journalism na kuuliza basic questions kama vile:

1. Kama kuna ufisadi wa mabilioni why did CAG give clean report?

2. Kama kilichofanyika Dege ni ufisadi then why PPF NHC TBA TPDC etc are not taken to task? Why NSSF?

I'm sure wenye vichwa vilivyotulia Hapa Jamiiforums wataweza kulitazama hili kuala kwa jicho la tatu

Hii inanifanya niacin kuwa huko NSSF kuna CIVIL WAR au VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE. Theory yangu ni kuwa wale wanaokaimu wanawafanyia fitna wakiosimamishwa ili wafukuzwe then wao wawe confirmed. Hiyo ndio vita inayoendelea kwa sasa na maya zaidi huyu mkurugenzi mpya naye amejiingiza kwenye hiii michezo michafu na kutoa taarifa za uwongo kwa vyombo vya habari

Pia tussah kuwa huyu Mkurugenzi mpya aliwahi kutoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa Mradi wa Daraja la Kigamboni ni mradi wa anasa na haunt tija kwa shirika. Lakini wiki tatu zilizopita huyu huyu Mkurugenzi anawaambia waandishi wa habari kuwa Mradi wa Daraja la kigamboni ni mzuri sana kwa taifa na unaingizia Shirika Mabilioni

Nasubiri kwa ham kusoma Jinsi Paskal Mayala atakavyokuja kumjibia na kumtetea huyu Mkurugezi mpya

Chanzo: Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni
 
Asante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom