battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,672
- 2,540
Hapa sasa nayaona madhaifu ya bunge la Muheshimiwa Ndungai,sasa ajibu haya ni kwa nini bunge halihoji matumizi haya ya kiholela? Na kama wameona ni sahihi basi wayabariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ripoti iliyopita kuna pesa hazijulikani matumizi yake 1.4 Trillion kama sijakosea, bunge limewahi kuhoji na kujadili? Tumeskia kuhusu manunuzi ya ndege na bajeti haijaidhinishwa na bunge ikiwa ni kazi zake, bunge limewahi kuhoji? Tumesikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege chato, bunge halijui na ni kazi yake, unafahamu hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app