Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,583
- 2,600
Uzi wenyewe empty words. Hauna takwimu, hauna mantiki na umeandikwa kishabiki tu. Tunahitaji nyuzi zilizoandikwa ki-Great Thinker bwana......Kwa hali ya upepo unavyovuma pand za Dodoma toka alipowasili kutoka Marekani kwa kusema kuwa Bunge ni dhaifu nadhani muda umefika sasa kwa kiongozi huyu wa juu kuhusu mahesabu ya Serikali kuachia ngazi kiti chake ili mambo mengine yaendelee otherwise kazi yake itakuwa haina maana kabisa ya kukagua mahesabu ya Serikali.