Na ndiyo wameshikilia cheo na usalama wa rais. Je, rais atakubali kukata tawi alilolikalia?Wahalifu wakubwa wa nchi yetu ni
1. CCM
2. Polisi
3. TISS
Kwa hiyo waendelee kuibaRais Samia wala usihamaki na kuyumbishwa na makelele haya. Jiwe aliiba 1 5 trilioni lkn sukuma gang wakaendekea kumsifia.
Mama umefanya mengi ktk kipindi kifupi. Umerejesha furaha, amani na upendo kwa watanzania.
Hizi ni kelele za sukuma gang tu
Sasa Rais Samia atengue uteuzi wa balozi siro aje Tanzania ahojiwe zilipo billion 4.8 alizoiba na genge lake pale makao makuu ya wizara ya mambo ya ndani kupitia Sacco's ya jeshi ...
WALIOPEWA JUKUMU ZA KULINDA PESA ZETU NDIO WANATUIBIASasa Rais Samia atengue uteuzi wa balozi siro aje Tanzania ahojiwe zilipo billion 4.8 alizoiba na genge lake pale makao makuu ya wizara ya mambo ya ndani kupitia Sacco's ya jeshi ,alikuwa anaagiza tu zichotwe
Hii imeoza aisee ,huyu mzee tuliambiwa alipaswa kuwa padre ila hakufaulu na kuhamia kulinda mali za umma na raia ,kumbe akilinda huku akiiba .
Juzi jeshi la polisi la Tanzania linasema kuna afisa ameiba pesa za michango ya polisi kisha akakimbilia Africa kusini kumbe ni mnyororo wa wa IGP siro ,so hapa kuna tuhuma pia za baadhi ya wakuu wa polisi kumsaidia yule kutoroka maana walikula naye na alipewa maagizo achote pesa kutoka juu kwa kina siro
Ni bora sasa Mh Rais Samia Suluhu Hassan atengue uteuzi wake aje hapa Tanzania akamatwe na kuhojiwa zilipo billion 4.8 na afanikishe kukamatwa kwa yule aliyetoroka.
Nawatakia pasaka njema
USSR View attachment 2581871
Sent using Jamii Forums mobile app
Swadakta!Jiwe aliiba 1 5 trilioni lkn sukuma gang wakaendekea kumsifia.
Wizi uko kwenye DNA ya WanaCCM.WALIOPEWA JUKUMU ZA KULINDA PESA ZETU NDIO WANATUIBIA
Ifike wakati wanaoteuliwa wapimwe uwezo wa kazi na wananchi tena kwa kura siyo mwonekanoAnayepaswa kuwajibika ni anayewateua hawa na kuwahamisha hamisha wakishaharibu.
Haiwezekani nchi nzima iwe na viongozi wale wale miaka 20+ huku wakirudia makosa yale yale.
Tmekuwa Taifa la ajabu sana
Na Majambazi.Policcm ni wezi