CAG amewarahisishia kazi CHADEMA na Kibajaj kapigilia msumari wa mwisho, sema tu CHADEMA ya sasa ni butu!

Kesho Chadema wanaanza Mikutano yao Kusini mwa Tanzania kwenye Ngome ya CUF na ACT Wazalendo.

Chadema wanaingia kwenye Mikutano wakiwa na Hati Safi kutoka kwa CAG tofauti na wenye Ngome yao ACT wazalendo waliotuhumiwa kukwepa Withholding tax TRA.

Kwa ile Chadema ya Dr Slaa tungepata mjadala mzuri kuhusu hawa mafisadi wa November lakini Chadema ya Mnyika vitambi vingi maslahi mbele.

Niko hapa Nanjilinji na kesho nitakuwepo Masoko kuwasikiliza ndugu zangu wa Ufipa St.

Siasa ni Sayansi, Siasa siyo Uadui!
Kwa Watanzania hawa?!!ambao hawajitambui ni kazi bure,Sasa mjadala mzuri unasaidia nini wakati anayeibiwa hana hata habari (kuwa hayamuhusu)
 
Kesho Chadema wanaanza Mikutano yao Kusini mwa Tanzania kwenye Ngome ya CUF na ACT Wazalendo.

Chadema wanaingia kwenye Mikutano wakiwa na Hati Safi kutoka kwa CAG tofauti na wenye Ngome yao ACT wazalendo waliotuhumiwa kukwepa Withholding tax TRA.

Kwa ile Chadema ya Dr Slaa tungepata mjadala mzuri kuhusu hawa mafisadi wa November lakini Chadema ya Mnyika vitambi vingi maslahi mbele.

Niko hapa Nanjilinji na kesho nitakuwepo Masoko kuwasikiliza ndugu zangu wa Ufipa St.

Siasa ni Sayansi, Siasa siyo Uadui!
Maelezo yako hayalingani na kichwa ch habari kama una swaumu ni bora usubiri futari ukifungua weka uzi wako
 
Kesho Chadema wanaanza Mikutano yao Kusini mwa Tanzania kwenye Ngome ya CUF na ACT Wazalendo.

Chadema wanaingia kwenye Mikutano wakiwa na Hati Safi kutoka kwa CAG tofauti na wenye Ngome yao ACT wazalendo waliotuhumiwa kukwepa Withholding tax TRA.

Kwa ile Chadema ya Dr Slaa tungepata mjadala mzuri kuhusu hawa mafisadi wa November lakini Chadema ya Mnyika vitambi vingi maslahi mbele.

Niko hapa Nanjilinji na kesho nitakuwepo Masoko kuwasikiliza ndugu zangu wa Ufipa St.

Siasa ni Sayansi, Siasa siyo Uadui!
Nchi inaongozwa na CCM na CAG ni chaguo la CCM na watendaji wote, taasis zote kama takukuru, tra, police na mahakama vyote vipo under CCM. Still report ya CAG CDM ndio wanaangushiwa jumba bovu!! Hii haina tofaut na ule msemo... Kugongwa agonge mwingine then ww ndo upiz!!
 
Kesho Chadema wanaanza Mikutano yao Kusini mwa Tanzania kwenye Ngome ya CUF na ACT Wazalendo.

Chadema wanaingia kwenye Mikutano wakiwa na Hati Safi kutoka kwa CAG tofauti na wenye Ngome yao ACT wazalendo waliotuhumiwa kukwepa Withholding tax TRA.

Kwa ile Chadema ya Dr Slaa tungepata mjadala mzuri kuhusu hawa mafisadi wa November lakini Chadema ya Mnyika vitambi vingi maslahi mbele.

Niko hapa Nanjilinji na kesho nitakuwepo Masoko kuwasikiliza ndugu zangu wa Ufipa St.

Siasa ni Sayansi, Siasa siyo Uadui!
Pitia hapa Kijiji Cha jirani NAKIU upate supu ya upupu uliza bwana SINGILIMO utanipata
 
Back
Top Bottom