johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Sasa kibajaji kapigiliaje msumali au kakupigilia WEWE??!!Kesho Chadema wanaanza Mikutano yao Kusini mwa Tanzania kwenye Ngome ya CUF na ACT wazalendo
Chadema wanaingia kwenye Mikutano wakiwa na Hati Safi kutoka kwa CAG tofauti na wenye Ngome yao ACT wazalendo waliotuhumiwa kukwepa Withholding tax TRA...
ACT wanayo qualified audit Opinio? au una maana gani?Chadema wanaingia kwenye Mikutano wakiwa na Hati Safi kutoka kwa CAG tofauti na wenye Ngome yao ACT wazalendo waliotuhumiwa kukwepa Withholding tax TRA
Kama upo Nanjilinji usitoke bila kuonja samaki Nchanga.Na pia ni vyema ukajiunga na wanachadema ujikomboe na mafisadi yanayokuzonga na kukupa hofu kila mara.Jivue gamba uwe huru,Kuwa mzalendo penda taifa lako,😂Kesho Chadema wanaanza Mikutano yao Kusini mwa Tanzania kwenye Ngome ya CUF na ACT Wazalendo.
Chadema wanaingia kwenye Mikutano wakiwa na Hati Safi kutoka kwa CAG tofauti na wenye Ngome yao ACT wazalendo waliotuhumiwa kukwepa Withholding tax TRA.
Kwa ile Chadema ya Dr Slaa tungepata mjadala mzuri kuhusu hawa mafisadi wa November lakini Chadema ya Mnyika vitambi vingi maslahi mbele.
Niko hapa Nanjilinji na kesho nitakuwepo Masoko kuwasikiliza ndugu zangu wa Ufipa St.
Siasa ni Sayansi, Siasa siyo Uadui!
Huyo mzee ana kicho (envy) na CHADEMA.ACT wanayo qualified audit Opinio? au una maana gani?
Anakwenda Mwanambaya kuangalia mashamba yake, huko Nanjilinji anazuga tu. Leo kaa pale Njia nne utaona anapita.Kama upo Nanjilinji usitoke bila kuonja samaki Nchanga.Na pia ni vyema ukajiunga na wanachadema ujikomboe na mafisadi yanayokuzonga na kukupa hofu kila mara.Jivue gamba uwe huru,Kuwa mzalendo penda taifa lako,😂
Mkuu hebu kaa kwa utulivu uhuishe kichwa cha habari na ulichoandika kwenye postKesho Chadema wanaanza Mikutano yao Kusini mwa Tanzania kwenye Ngome ya CUF na ACT Wazalendo.
Chadema wanaingia kwenye Mikutano wakiwa na Hati Safi kutoka kwa CAG tofauti na wenye Ngome yao ACT wazalendo waliotuhumiwa kukwepa Withholding tax TRA.
Kwa ile Chadema ya Dr Slaa tungepata mjadala mzuri kuhusu hawa mafisadi wa November lakini Chadema ya Mnyika vitambi vingi maslahi mbele.
Niko hapa Nanjilinji na kesho nitakuwepo Masoko kuwasikiliza ndugu zangu wa Ufipa St.
Siasa ni Sayansi, Siasa siyo Uadui!
Hata ukikasirika sana potelea mbali😂...Nimekasirika kidogo!!!
Nyie si warina asali, zenu sega na nta!!Hata ukikasirika sana potelea mbali😂
Mtambuka unasemaje juu ya ripoti ya CAG?Hata ukikasirika sana potelea mbali😂
Ataondoka na kuvunja mbavu Nne halafu,😂Tunaenda kumsukuma Mlevi 😁
Unataka niseme nini?🤣Mtambuka unasemaje juu ya ripoti ya CAG?
Ngoja tuthibitishe hili kwenye ripoti ya CAG🤔Asilimia kubwa ya Wabunge wa Magufuli ni Mazezeta sijui aliwatoa wapi?
Bado unayapambania mafisadi wanaotufilisi😂Unataka niseme nini?🤣
Magonjwa Mtambuka na wenzake tatizo lao siyo CCM na mfumo wake mbovu, bali wao kutokuwa kwenye mfereji wa kupokea kinachoibwa serikalini. Kundi lao lote siyo Kundi la Mama na ndiyo maana wanapambana naye. Akiingia mtu wao, wazimu wao wa kuitetea CCM hata inapofanya madudu, unawarudia tena kwa kasi ya ajabu hadi utashangaa!!Bado unayapambania mafisadi wanaotufilisi😂
Na huo ndio unaa wao,na hiyo ndio sababu ya umaskini wetu na umaskini wa waafrika 🤔. Uzalendo 0.Magonjwa Mtambuka na wenzake tatizo lao siyo CCM na mfumo wake mbovu, bali wao kutokuwa kwenye mfereji wa kupokea kinachoibwa serikalini. Kundi lao lote siyo Kundi la Mama na ndiyo maana wanapambana naye. Akiingia mtu wao, wazimu wao wa kuitetea CCM hata inapofanya madudu, unawarudia tena kwa kasi ya ajabu hadi utashangaa!!