CAG alishaliona hili kuhusu janga la moto na miundombinu ya kupambana nalo tukampuuza

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
1625979902733.png

Aliposema haya na mengine mengi yenye maslahi ya umma, viongozi wetu dhaifu, wafupi wa kimo na upeo walimbeza, wakamdhalilisha na kumtweza Prof Assad... leo Zimamoto wanakwambia "tulizima moto maji yakaisha, tukaenda kuchota maji.. moto ukazidi"

Nachofahamu mimi kwa upeo wangu mdogo, ni kuwa hapa mjini ukishaanzisha kaofisi kako fulani tu hawa jamaa wa Fire brigade watakuandama na kukulazimisha upate fire certificate . Hiyo huendana na training kwa wahusika wa hiyo ofisi lakini pia kununua na kuwekewa mitungi ya gesi ya CO2 kwa ajili ya kuzimia moto.

Sihitaji kuelezea jinsi mchakato huo ulivyogubikwa na rushwa kwani hiyo ni mada ya siku nyingine na ni aibu sana itakapoibuliwa kuwa Fire certificate ni mianya ya rushwa kwa wale wakaguzi bali turudi hapa. Hivi mpaka leo eneo la Crowds kama Kariakoo shimoni hakuna miundombinu ya uokoaji wa moto?. Mpaka leo maeneo hayo hayana lines za maji kwa ajili ya kujazia magari?.

Hawa wanaotukimbilia kwenye vistationery vyetu kuwa tuweke vifaa vya uokoaji wameshindwa kuwabana watu wa masoko kuhusu vifaa na protokali hizo za uokoaji. Kipi ni hatari zaii, mimi na kistationery changu au mali na jamii ndani ya masoko yetu.

Hawa Fire brigade mpaka leo hii wameshindwa kubaini shida nini kwenye Moto unaounguza masoko, wameshindwa kufanya elimu na utafiti wa jinsi ya kuweza kuzokoa haya masoko mara tu majanga ya moto yanapoanza. Ni lini zimamoto walishawahi kuzuia moto kwenye soko lolote?. Tunajua hii ni kutokana na ugumu wa Setup ya kwenye haya msoko. Imeshindikana mpaka leo kuletwa utafiti wa kuja setup nzuri ya kuzhibiti usambaaji wa moto kwa haraka kwenye masoko yetu!.

Hakika CAG aliyasema haya , akapuuzwa kama ilivyo ada. Na tutaendelea kulipa hiyo Gharama ya kupuuza wataalamu. Pia ni wakati wa hii Fire brigade kutathminiwa upya. Kuna haja ya hii Brigade kuvunjwa ama iondolewe kwenye wizara ya MNN iwe ni taasis inayojitegemea na yenye bajeti yake huru ya kutekeleza majukumu yake. iT SEEMS KAMA Wizara ya Mambo ya Ndani ina majukmu mengi hasa kwa Jeshi la Polisi hivyo kuiacha fire brigade ikiwa na mapungufu ya vitendea kazi.

Jumapili Njema wanabodi

Jengo la bunge kutokuwa salama Magiri amenikumbusha siku Mwijage alivyokimbia kama mshale siku kengere ya hatari ilivyolia bungeni
E5_Xb7LXMAA2kt-.jpg
 
Hawa jamaa tuseme ukweli wakija wao mi kukomalia hela kwaajili ya certificate yao.. elimu wanaitoa wakiwa wanakampeni maalumu tena mara nyingi wakiwa mbele ya camera, ila nakumbuka kuna kipindi mwendazake aliwaita viongozi wao mafisadi walivyosaini mkataba wa kuliboresha jeshi ona sasa leo tunategemea magari ya private security Gardaworld kuzima moto ili hali mkusanya kodi na hela za fire kwa % kubwa ni serikali.
 
Nawaonea huruma sana hao waliounguliwa Mali,sijui wataishike ukizingatia bado hawajarekava athari za korona + dikteta uchwara
 
Hawa jamaa tuseme ukweli wakija wao mi kukomalia hela kwaajili ya certificate yao.. elimu wanaitoa wakiwa wanakampeni maalumu tena mara nyingi wakiwa mbele ya camera, ila nakumbuka kuna kipindi mwendazake aliwaita viongozi wao mafisadi walivyosaini mkataba wa kuliboresha jeshi ona sasa leo tunategemea magari ya private security Gardaworld kuzima moto ili hali mkusanya kodi na hela za fire kwa % kubwa ni serikali.
Kwani kangi anasemaje?
 
Mbona nchi ina helicopters nyingi tu kuanzia za polisi hadi jeshi why hazikutumika kunzima ule moto?na bahari ipo few kms away?yaani Dar nzima haina ule mtungi anaoweza kufungwa kwenye helicopter na kuwezesha kuchota maji ya bahari na kusaidia kuuzima ule moto?au pilot's wetu hawana mbinu za uzimaji moto kwa kutumia helicopters?ule moto ulikua unawaka kutokea juu ni helicopters pekee zingesaidia kudhibiti.
 
Lugola alizuiwa kuzileta
 
Aiseee..hivi Dar city centre na maghorofa yote yaliyopo, hakuna fire hydrants' point s in case of fire kiasi cha kufuata maji Airport... Kaaazi kwelikweli.
Daah na ukizima moto kwa pressure ya maji harafu ukaacha kuuzima ni kwamba umeongeza kiwango cha Oxygen hapo moto utaongezeka hamtaweza kuuzima tena...
 
View attachment 1849229

Aliposema haya na mengine mengi yenye maslahi ya umma, viongozi wetu dhaifu, wafupi wa kimo na upeo walimbeza, wakamdhalilisha na kumtweza Prof Assad... leo Zimamoto wanakwambia "tulizima moto maji yakaisha, tukaenda kuchota maji.. moto ukazidi"

Nachofahamu mimi kwa upeo wangu mdogo, ni kuwa hapa mjini ukishaanzisha kaofisi kako fulani tu hawa jamaa wa Fire brigade watakuandama na kukulazimisha upate fire certificate . Hiyo huendana na training kwa wahusika wa hiyo ofisi lakini pia kununua na kuwekewa mitungi ya gesi ya CO2 kwa ajili ya kuzimia moto.

Sihitaji kuelezea jinsi mchakato huo ulivyogubikwa na rushwa kwani hiyo ni mada ya siku nyingine na ni aibu sana itakapoibuliwa kuwa Fire certificate ni mianya ya rushwa kwa wale wakaguzi bali turudi hapa. Hivi mpaka leo eneo la Crowds kama Kariakoo shimoni hakuna miundombinu ya uokoaji wa moto?. Mpaka leo maeneo hayo hayana lines za maji kwa ajili ya kujazia magari?.

Hawa wanaotukimbilia kwenye vistationery vyetu kuwa tuweke vifaa vya uokoaji wameshindwa kuwabana watu wa masoko kuhusu vifaa na protokali hizo za uokoaji. Kipi ni hatari zaii, mimi na kistationery changu au mali na jamii ndani ya masoko yetu.

Hawa Fire brigade mpaka leo hii wameshindwa kubaini shida nini kwenye Moto unaounguza masoko, wameshindwa kufanya elimu na utafiti wa jinsi ya kuweza kuzokoa haya masoko mara tu majanga ya moto yanapoanza. Ni lini zimamoto walishawahi kuzuia moto kwenye soko lolote?. Tunajua hii ni kutokana na ugumu wa Setup ya kwenye haya msoko. Imeshindikana mpaka leo kuletwa utafiti wa kuja setup nzuri ya kuzhibiti usambaaji wa moto kwa haraka kwenye masoko yetu!.

Hakika CAG aliyasema haya , akapuuzwa kama ilivyo ada. Na tutaendelea kulipa hiyo Gharama ya kupuuza wataalamu. Pia ni wakati wa hii Fire brigade kutathminiwa upya. Kuna haja ya hii Brigade kuvunjwa ama iondolewe kwenye wizara ya MNN iwe ni taasis inayojitegemea na yenye bajeti yake huru ya kutekeleza majukumu yake. iT SEEMS KAMA Wizara ya Mambo ya Ndani ina majukmu mengi hasa kwa Jeshi la Polisi hivyo kuiacha fire brigade ikiwa na mapungufu ya vitendea kazi.

Jumapili Njema wanabodi

Jengo la bunge kutokuwa salama Magiri amenikumbusha siku Mwijage alivyokimbia kama mshale siku kengere ya hatari ilivyolia bungeni
View attachment 1849250
 
Hii issue ya fire fighting system ni kubwa sana. Miji yote haina fire fighting system za kueleweka. Maintenance of equipment pia ni ya kuchechemea.
Tuombe Mungu Kariakoo iwe ndio mwanzo wa kujipanga upya.
 
Huyu anayetroti mjengoni ni wewe?
 
Back
Top Bottom