CAG aibua mazito PRIDE TANZANIA

Kweli binadamu ni katili zaidi ya wanyama pori.huwa tunawaonea tu tunaposema mtu mkatili kama mnyama.. ilifaa kusema mkatili kama binadamu ama ukatili wa kibinadamu
 
Sociologist hutaki kwenda beyond observable!!!!!?????
Huweki premise ila unakomaa na conclusion!!!!?????
Validity na reliability ya majibu yako ni questionable!!!!?????


Armchair sociologist at best!!!!!!!

serikali haihusiki kabisa na pride..ni mali ya watu binafsi
 
serikali haihusiki kabisa na pride..ni mali ya watu binafsi

Kuna hoja hapo imeachwa wazi kwa mjadala hili sio suala la yes/no ni suala la evidence mkuu!!!!!
Weka majibu ya hoja ya mtoa mada mazee
 
mtu anabisha kabla ya kupata facts.

Sociologist hutaki kwenda beyond observable!!!!!?????
Huweki premise ila unakomaa na conclusion!!!!?????
Validity na reliability ya majibu yako ni questionable!!!!?????


Armchair sociologist at best!!!!!!!
 
Inasikitisha sana. Hivi mali za TFC (Tanzania Film Company) ikiwemo Cini Club ziliuzwa na serikali.
 

Tatizo ni ujinga wa wanatanzania...na bado huyu mhazini bado yupo? na serikali ilianzisha PRIDE kuwachuma wananchi hadi leo hii na hela zimeenda kumnufaisha nani?...Hii serikali ya CCM imeoza...imeoza...na tumeambiwa imefilisika, HAZINA IMEFILISIKA, hakuna kitu...Serikali ina deficit ya 1.2 Trillion ktk budget, inahaha kunusuru...! hadi inaogopa kuwasilisha budget bungeni ka kuendelea kuahirisha ahirisha ili kutafuta hela za kuzugia...huo ndio Utawala wa JK na ccm yeke...! utawala huu wendawazimu tu...! CCM mwisho 2015! Labda kwa ujinga wa fikra, na wizi wa kura walazimishie ushindi...
 

huyu jamma ni hatari kubwa si ni yule aliyeuza UDA kimizengwe!!!!!!
 
PRIDE ni NGO ya watu binafsi na wala siyo mali ya serikali, kama walipata fedha serikali hilo ni jambo jingine lakini siyo mali ya serikali.

acha kutetea ufisadi kwa hoja dhaifu kama hii! a twit at work!
 
CAG anakagua mpaka huko kwa msajili wa hazina.....kama ana mashaka na baadhi ya umiliki wa taasisi za umma kwanini asichunguze hilo wakati anakagua kwa Msajili? ........Kwanini CAG asubiri majibu ya Msajili while ana mamlaka ya kwenda kukagua akapata anachokitaka?......sometimes hizi hoja zinaibuliwa ili kujilinda incase akiulizwa kwanini hakulifanyia kazi......ukiona hivyo maana CAG anajua kwenda "beyond the line" anatafuta mengine hivyo kaamua kuandika hoja ambayo anajua msajili hataijibu na yeye kuonekana amefanya kazi yake.....mkono uende kinywani.....
 
Msichangie tu kwenye JF. Wananchi wanatakiwa waelezwe kupitia majukwaa kuwahamasisha ili wajue maovu yote haya na waweze kufanya maamuzi sahihi 2015. Ni wananchi wachache sana wapo JF na wengi 2015 hawafanyi maamuzi through ballot box
 

Ni entry point ndio inatafutwa hapo mkuu sio kila vita lazima iwe ya mipaka ya nchi kaka MTAZAMO
 
Last edited by a moderator:
PRIDE TANZANIA IN PERSPECTIVE - HISTORY


Incorporation:

PRIDE Tanzania was incorporated on 5th May 1993 under Cap. 212 as a company limited by guarantee

Source of Funding:

Main source is from NORAD under a Bilateral Agreement between the Government of Tanzania and the Royal Government of Norway from 1993 to 2001. Swedish Government joined as a donor through Sida late 2000.

Governance
•Bank of Tanzania is the implementing agency of the programme on behalf of the government.
•The role of the Implementing Agency as per the bilateral agreement is to coordinate funding for the program.
•Board of Directors responsible for strategic policy decisions and oversees the overall program implementation.
Target Clients:

Poor but economically active individuals owning and running businesses

worth less than US $ 700
Loan Menu

PRIDE’s Loan menu has eight loan cycles with small loan amounts

ranging from Tshs.50, 000 to 10,000,000. Clients have to graduate from

lower to higher loan cycles. Interest rate is charged are based on the loan terms

range between 25 to 100 weeks depending on the loan size.
Programme Development
1.Pilot phase (1993 –1995)

Pilot operations involved three branches located in Arusha, Tanga and Dar es Salaam. The aim of the phase was to:
•introduce and test the possibility to replicate the PRIDE model in Tanzania,
•allow time for capacity building and establish the network growth pattern

2.Expansion phase (1995 – 2000)

Programme expansion started soon after the successful pilot phase. Three stages were involved:
•Network expansion (1995 – 1998)
•Consolidation of operations (following programme review by a consultant) 1998 – 1999 (Focus on efficiency and productivity improvements)
•Movement towards operational sustainability (1999 – 2001)
•Building Capacity for Commercialisation and Transformation (2002 – 2004)
Funding

Funding by Donor and Use




Various independent impact assessment studies involving sampled borrowers carried out since 1997 indicate the following changes with respect to the businesses and living standards of a good number of borrowers:
•Registered business growth both in terms of increased volume of existing businesses and/or addition of new businesses
•Enhanced income
•More employment generated but mostly involving close relatives
•Ability to buy domestic assets and carry out improvements in their homes
•Improved family living standards - afford decent meals and medical treatment, pay for school fees and school uniforms for children and afford better homes contrary to the situation before accessing loans.
•More confidence on the part of women through enhanced income and hence purchasing power.
•More women are becoming equal partners in the homes and participate fully in the planning of family welfare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…