CAG afanye Ukaguzi. Hili Jengo la Ofisi ya CHADEMA halifanani na Sh. Bilioni 2

Wakuu Chadema Wana mzaha sana ,eti haka kajengo kama nyumba ya kuishi ndio Ofisi ya Chama Makao Makuu waliyoisubiria Kwa miaka 30..

Mil.500 eti ya Kiwanja na Ukarabati wa 1.5bln? Huu ni Ufisadi wa mchana kweupeee.

Hivi Chadema mnaijua Bilioni 2 kweli nyie? Anyway wajinga ndio Waliwao nyumbu ni nyumbu tuu..
View attachment 2675294
Chama kikuu cha upinzani CHADEMA kililazimika kusubiri kwa miaka 30 kabla ya kupata jengo la ghorofa moja litakalotumiwa kama makao makuu yake, lililonunuliwa na kurekebishwa kwa thamani ya takriban Sh1.5 bilioni.

My Take
CAG Afanye Ukaguzi maalumu,Wamekarabati pesa ya ruzuku,hapana Value for money hapo.

Sasa kwanini bandari isiondoke kwa style hii , vijana wanajadili very minor issues pumbav
 
Hivi umeingia mle ndani wewe kapuku ? usifanye mchezo na jengo lililowekwa mitambo ya kuzuia mabomu na risasi .

Kwa sasa ukitaka kumuua kiongozi wa Chadema akiwa ofisini kwake njia unayoshauriwa kutumia ni kumloga tu , risasi hazipenyi hapo .
Angalia huyu kichaa sasa kampain watakuwa wanapigia hapo ofsini,na kwann wawaue wamekosa nini,Wao na familia zao watahamia kwenye hiyo nyumba ya kuzuia mabomuu?
 
Sasa kwanini bandari isiondoke kwa style hii , vijana wanajadili very minor issues pumbav
20230702_113747.jpg
20230702_113744.jpg
 
Hiyo bilioni mbili umeipata wapi wewe!.

Bikioni mbili ni fedha iliyotengwa kwa ajili ya ujenzi wa ofisi mpya Makao Makuu Tz Bara na Zanzibar.

Uwe unasoma vizuri usikurupuke.
 
Wakuu Chadema Wana mzaha sana ,eti haka kajengo kama nyumba ya kuishi ndio Ofisi ya Chama Makao Makuu waliyoisubiria Kwa miaka 30..

Mil.500 eti ya Kiwanja na Ukarabati wa 1.5bln? Huu ni Ufisadi wa mchana kweupeee.

Hivi Chadema mnaijua Bilioni 2 kweli nyie? Anyway wajinga ndio Waliwao nyumbu ni nyumbu tuu..
View attachment 2675294
Chama kikuu cha upinzani CHADEMA kililazimika kusubiri kwa miaka 30 kabla ya kupata jengo la ghorofa moja litakalotumiwa kama makao makuu yake, lililonunuliwa na kurekebishwa kwa thamani ya takriban Sh1.5 bilioni.

My Take
CAG Afanye Ukaguzi maalumu,Wamekarabati pesa ya ruzuku,hapana Value for money hapo.
Wanachadema hawalalamiki we demu wa manzese kwa mfuga mbwa unabwabwaja yanakuhusu?

Kwa ujinga wako unadhani ardhi ya zilipo hizo ofisi zina thamani kama ya kwenu kwa mfugambwa au kwa mtogole
 
Lote nimeliona,weka picha yote..

Leo mumeumbuka,Kuna Bilioni 2 hapo?
Why unapotosha, wapi Chadema imesema thamani ni billion 2? Unaweza quote hapa?

Hiyo ni valuation ya ofisi itakayokuwepo Dar na Zanzibar. Embu acheni kuleta taharuki za ajabu. Nyie mlisema ruzuku inaliwa haya Sasa jengo limepatikana mnaanza Tena kulia lia
 
Mbona ofisi ni nzuri fisadi wewe
Wakuu Chadema Wana mzaha sana ,eti haka kajengo kama nyumba ya kuishi ndio Ofisi ya Chama Makao Makuu waliyoisubiria Kwa miaka 30..

Mil.500 eti ya Kiwanja na Ukarabati wa 1.5bln? Huu ni Ufisadi wa mchana kweupeee.

Hivi Chadema mnaijua Bilioni 2 kweli nyie? Anyway wajinga ndio Waliwao nyumbu ni nyumbu tuu..
View attachment 2675294
Chama kikuu cha upinzani CHADEMA kililazimika kusubiri kwa miaka 30 kabla ya kupata jengo la ghorofa moja litakalotumiwa kama makao makuu yake, lililonunuliwa na kurekebishwa kwa thamani ya takriban Sh1.5 bilioni.

My Take
CAG Afanye Ukaguzi maalumu,Wamekarabati pesa ya ruzuku,hapana Value for money hapo.
 
Nipeni million 350 niwadalalir jengo kama hilo mikocheni chadema ni matapeli sana
 
Back
Top Bottom