CAFCC: Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki

homeless1

JF-Expert Member
Sep 24, 2020
427
950
Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki

Skill
Pace
Finish
100%


Screenshot_20220316-170842~2.jpg
 
Uhakika ni kwamba hii habari kesho au leo usiku haitatangazwa na makanjanja la sivyo itabidi wakjieleze vizuri kwa wale jamaa wanaowapaga bahasha za khaki kwani baada ya kujitutumua redioni wakitetea waarabu wa Berkane na wale waarabu watoaji bahasha za khaki kwamba goli la sakho ni offside huko CAiro wamekuja na jibu tofauti kabisa

PAPE SAKHO kwa mara ya pili anachukua goal bora la week huku zimbwe na onyango wakiingia kikosi bora cha week...poleni sana wacha mbuzi..wacha goats kazi mnayo mwaka huu tengenezeni story nyingine sasa
Screen Shot 2022-03-16 at 5.56.31 PM.png
 
Back
Top Bottom