Hawa jamaa ndo wanawabeba wanautopolo ktk uzwazwaNB: kwa Yanga, Oscar Oscar , Allykamwe , Privaldinho na Wachambuzi was EATV ni goli la offside Kagere aliucheza mpira kwa kuuruka kwa CAFCC ni goli bora la wiki
Tanzania tutafika tumechoka
Hivi,unataka watu wajinyonge?Kuwa na huruma muheshimiwa.Wanaongoza ligi ujue?Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki
Skill
Pace
Finish
100%View attachment 2153000
Lile Genge Limejifia, Yaani Wanampa Mwaliko RaisHaya Uto mtapeleka wapi malalamiko?
NakaziaHawa jamaa ndo wanawabeba wanautopolo ktk uzwazwa
Hivi kati ya Kirungu na Missile launcher ni ipi silaha bora?Hivi Sakho na Mayele nani mfungaji bora?
Mkuu Scars bwanaHivi kati ya Kirungu na Missile launcher ni ipi silaha bora?
Acha Kulinganisha Kijana Na ZeeHivi Sakho na Mayele nani mfungaji bora?
Itisheni pressMbeleko Fc
malalamiko yao yapelekwe Kwa biden au PutinHaya Uto mtapeleka wapi malalamiko?
mwakani malalamiko FC mechi 2 Chalo. Unarudi kigamboni. Hahahaaa acheni wanaoujua mpira waucheze. ACHA KUJIUMIZA KWA MAFANIKIO YA JIRANI. KUWA NA WIVU WA MAENDELEO.Mbeleko Fc
Wachambuzi wa mchongo njoo huku kuna goli la wiki hukuKwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki
Skill
Pace
Finish
100%
View attachment 2153000