ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
mkuu Masuke, karbia kila post yko unaongea uhalisia mtupu.Nadir Haroub na Kelvin Yondani wanatakiwa wafanye kazi kubwa sana ya kumlinda Deogratius Munishi, Domayo afanye kazi kubwa sana ya kuziba penetration passes zote, kungekuwa nauwezekano akapata japo nusu ya uwezo wa Gilberto Silva wakati yuko Arsenal itakuwa nzuri sana, kama wataruhusu mashambulizi ya mara kwa mara mabeki wa Yanga huwa wanashindwa kuelewana hasa wale wa kati. Sina wasi wasi sana na mabeki wa pembeni ingawa pia hata mashambulizi ya Ah Ahly mara nyingi huwa wanapenda kutokea pembeni na kumimina krosi kwa hiyo Msuva na Okwi nao inabidi wawe wanafanya jitihada za kurudi kusaidia wakati timu inashambuliwa. Kiiza na Kavumbagu hawatakiwi kufanya makosa ya kosa kosa, nafasi moja goal moja, nafasi ya pili goal la pili.
Myama kuonekana kwenyemashindano hayo ni 2030.wakuu mnyama anacheza lini?
Mkuu Masuke siku za hivi karibuni kocha mkuu wa Yanga amekua akimlalamikia Niyonzima kwamba anachelewesha mashambulizi ya Yanga kwa kukaa na mpira muda mrefu na kumtaka abadilike ktk mechi ya marudiano na waaarabu,jee huoni kwamba pengine kocha amefurahi kuona Niyonzima ni mgonjwa?maana kwa nionavyo mimi Yanga kwa kikosi hiki watatumia mfumo wa:4-2-3-1 wakiwa na nia ya kushambulia kwa spidi kubwa kupitia pande zote,pembeni na katikati.
Utabiri wa watu makini na sio mashabiki kama wewe
Al Ahly 7-Yanga 0
Jumla Al Ahly 7-Yanga 1
wakuu mnyama anacheza lini?
na iwe kama ilivyokuwa ndoto yako!Leo sina utabiri, nilipokuwa katika njozi usiku niliona mechi imeisha kwa 1-0, nilitamani sana kujua ni timu gani imeshinda, sikuona muda ukiongezwa wala penati zikipigwa, niliona wachezaji wenye jezi za njano na kijani wakimsifu Mungu.
Leo wang'oa Viti taifa watabaki kung'oa keyboards zao ..LOL:A S-key:
hope tutafuzu kusonga mbele nini kushinda
Mm simba lakini kwanza uzalendo...kila la kheri yanga...make Tanzania proud..wishing u all the best..mungu ibariki Tanzania..
Si swala la bahati,nia,sababu na uwezo tunao!mwarabu akijitahidi sana sare.
teh,teh,mkuu nasikia makipa wote ------------,au ndo mnatatafuta sababu mkifungwaLeo sina utabiri, nilipokuwa katika njozi usiku niliona mechi imeisha kwa 1-0, nilitamani sana kujua ni timu gani imeshinda, sikuona muda ukiongezwa wala penati zikipigwa, niliona wachezaji wenye jezi za njano na kijani wakimsifu Mungu.