CAF Champions League

Hilo nalo sio sawa kawaida wasusi huwa sio riziki.Kuna mpenzi wao alisema jamaa wanachimbwa sijui labda kama kweli.
 
Wee nae jana ulikuwa unawashwa eeh, mbona hukwenda kuwasaidia hao al ahly wako wasifike kwenye matuta

 
Wee nae jana ulikuwa unawashwa eeh, mbona hukwenda kuwasaidia hao al ahly wako wasifike kwenye matuta

Al Ahly hii ni timu mbovu kabisa...na tena nakuhakikishia hatua inayokuja hawatapita...kilichowasaidia ni kuonana na timu mbovu kabisa kwenye ukanda huu yenye wacheaji wasusi

View attachment 144007
 
Wakati hii thread ikiendelea na tukizidi kupeanan pole za hapa na pale (uzalendo haa haa) tujikumbushe kikosi cha club ya soka ya tz iliyoweka historia barani africa .. nakumbuka mziki mzima ulikuwa hivi .
Coach james agrey sianga,
1. Juma k juma (wa ukweli sio wa sasa)

2. Said sued

3.Ramadhan wasso rama
4. CHRISTOPHER ALEX
5. Boniface pawasa
6. Seleman matola (veron)
7.Ulimboka mwakingwe
8. Shekhan rashid
9.Emanuel gabriel
10.Yusuph macho musso

11. steven mapunda garrincha...

WARABU WALIKAA BILA KELELE ZA MAGAZETI
 


Mkuu hicho kikosi umekosea kidogo, ngoja nikukumbushe.


  1. Juma Kaseja
  2. Said Sued
  3. Ramadhani Waso
  4. Victor Costa
  5. Boniphace Pawasa
  6. Christopher Alex
  7. Athumani Machupa
  8. Selemani Matola
  9. Emmanuel Gabriel
  10. Yusuf Macho
  11. Ulimboka Mwakingwe

Na picha yao hii hapa chini.

 

Daah mastaa walikuwa wengi isee ,, nlimsahau athman magoli machupa , nikumbuka na hawa watu amri said, patrick betwel , rashid shekhan , mhagama kelvin .. hawa jamaa walikuwa kikaz zaidi sio magazeti fc kila mchezaji ana kiduku kichwani ....
 

Mlichukua ubingwa gani?
 
Mlichukua ubingwa gani?

Haa haa ubingwa wa nn sasa ,, okey ngoja nikumbuke kwanza maana ka mda kamepita af kama sijasahau ndo kipindi hicho yanga alikula nne moja baada ya maingizo mapya ya kina mark sirengo ,moses othiambo .. vp unakumbuka ??
 
Ahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaa,Ahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaa,Ahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaa!
 

Mkuu huu ni ulevi wa mchana kweupe pee. hukumbuki kuwa kabla ya kukipiga na Yanga Al Ahly waliumiza mtu bao 3-2 katika Super Cup ndani ya dakika 90? Huoni kwamba Yanga ni tishio hadi dakika 90 mambo yalikuwa magumu kwao, hebu ona kauli ya kocha wao:

Youssef : It Was Very Difficult Game

Ahly's coach Mohamed Youssef said " The game was very difficult and the most important in the meeting today is we won and qualified to the Round of 16 of CAF Champions League Youssef explained that Young Africans team is the first in Tanzania and the players have high individual skills . (Source: ØÙ†Ø§Ø¯Ù‰ ØÙÙ‰ )



 
Youssef explained that Young Africans team is the first in Tanzaniaand the players have high individual skills .

It is. So far,they are at the top of the VPL standing which qualifies them to be the first in Tanzania, isn't it...?
 

Ndio kawaida yenu Yanga...nyie mwacheza mpira wa maneno ...wenzenu wanacheza uwanjani na wanashinda.......Kwenu nyie ushindi mnaupata kwenye magazeti .....na kwenye sifa za kijinga....Poleni sana........
 
Ndio kawaida yenu Yanga...nyie mwacheza mpira wa maneno ...wenzenu wanacheza uwanjani na wanashinda.......Kwenu nyie ushindi mnaupata kwenye magazeti .....na kwenye sifa za kijinga....Poleni sana........

Hongereeni nyie manaoshinda uwanjani kila siku kiasi kwamba sasa hivi manaongoza ligi, pongezi kwenu.
 
Hongereeni nyie manaoshinda uwanjani kila siku kiasi kwamba sasa hivi manaongoza ligi, pongezi kwenu.

Heri sisi Simba tunaokubali kwamba msimu huu ni mbaya kwetu na tuna timu isiyoshinda...tunalikubali hilo wazi...sio nyie mnayo timu mbovu inashindwa kuifunga timu yenye kiwango kibovu kama Ahly alafu mnajitapa kwa sifa za kijinga...sifa za magezetini...hovyooooooo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…