CAF Champions League

Yani uku tabata utasema. game ilikua inachezewa uku maana mashabiki wa simba ni ful shangwe.
 
Kufa kiume??My a.ss ujinga mtupu.Ahly hii mmeshindwa kuwafunga kwa kupaki basi.
 
yaani yanga hamtokuja kuwafunga tena waarabu kama mmeshindwa leo ila kwa kweli mmejitahidi
 
Mungu katuondolea aibu hii ....Kama Yanga wangeshinda na kuingia 16 bora Yanga wangeenda aibisha Taifa....

Ahsante Mungu...
bahati mbaya haikusaidii maana machungu tuliyonayo uatjifungia ndani april
 
Utasikia magazeti ya michezo kesho..YANGA YAFAKIUME'
 
Inatakiwa wachezaji wetu wasiwaze kupaki basi mda wote tu, Go yanga, go yanga!!


Sent from my iPhone using JamiiForums

Wewe ndie utasababisha Yanga wafungwe, huyo uliemuomba aisaidie Yanga ishinde umeandikaje jina lake?

Inakera sana mtu akikosea jina lako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…