Ila hawa Waarab last week tungeliwafunga bao mbili tu, leo wasingekuwa na matumaini
Tulia wewe
Mbona kimya vp huko
yanga leo lazima wapewe za chembe.
Njoo fasta kabla mambo hayazidi kunoga.........
tukifungwa tunafarijiana tukifunga tunapongezana
dakika moja imeongezwa tunaenda mapumziko bila kufungana....ameen